Nashauri wasomi wa Chuo Kikuu kujiingiza kwenye kazi ya kutafsiri movie

Nashauri wasomi wa Chuo Kikuu kujiingiza kwenye kazi ya kutafsiri movie

Kwa kweli hawa watafsiri wa kitaaani wana uongo sana sema tu wamechangamka. Ingependeza sana wasomi wangekuwa wanatafsiri hizi movie na ikiwezekana wawe kundi na watafsiri kiuhusika kama ilivyotafsiriwa animation ya Kirikuu.

Pamoja na yote hii ni chance ya ajira pia. Au nakosea ndugu zangu?
Mkama nzinza.
 
Ukitaka kujua mambo ya kihistoria na kigeography tazama movie za ommy dj haswa season daah wewe tu jamaa anajua sana [emoji110][emoji4]
 
Ommy dj kutoka arusha ni mmoja wapo wa hawa wasomi wa chuo yuko vizuri yeye anapiga series za kizungu shida yake ya tangia utotoni ni matusi hapo mvumiliane tulijaribu kumrekebisha tukashindwa
Utasikia, na jinsi anavyowapa makavu jamaa zake wanyaturu.
 
Kama wataweza kufunika mapengo yote watapiga hela sana! Ipo hivi kutafsiri kunamapana yake humohumo na ubunifu n.k Kuna swala la usikikaji wa sauti na muonekano wa picha pia,watafsiri wengi wamekuwa wakiharibu ubora wa picha na sauti na unakuta anachotafsiri ni uongo mtupu japo si wote.

Kama watatokea wenye kuziba mapungufu basi wataheshimisha kazi husika! let's say mtafsiri anatoka na ubunifu huu mfano kwenye muvi anaonekana mtu anatumia bunduki Aina ya AK47 hapa mtafsiri anaweza akaweka pozi movie kidogo halafu kwa maelezo mafupi na yaliyoshiba anaweza akaielezea aina hiyo ya bunduki na uwezo wake na hata ikibidi ka historia kidogo!

Hii inakuwa ni burudani na pia sehemu ya elimu. Yapo mengi wanaweza kuyafanya na Kama mtu anaweza basi awe specific kwenye aina fulani ya muvi labda za kipelelezi anakuwa anatumia muda mwingi kuziangalia kuzifatilia na kujua kwanini hapa palitumika mbinu hii au kwanini hapa palifanywa hivi n.k

Movie sometimes hazina maelezo zinahitaji uelewa Sasa waangaliaji wengi kuna vitu huwa vinawapita kwa maana wao huwa wanaangalia tu hawana la kujiuliza! So no vyema wawameng'enyee wateja wao ili wazipende kazi zao. Muvi nyengine mtu hawezi zipenda kwasababu hajajua undani wake ila akijua basi humnyang'anyi remote!

Huo ndo mchango wangu.

Wakati unaweka pozi kuielezea ak47 tanesco wanakuangalia tu
 
Ngoja wakutaje movie zijazo alafu wanamalizia

"tunapiga bao, wewe mtoto wa kwa mama nani unasema tunatafsiri uongo njo na wew mamaae..."

Hawa jamaa ni vipaji tu vya kupiga zogo vya tokea shuleni za msingi mkuu.
 
Sheria hizo zinasimamiwa hapahapa nchini na mamlaka husika chini ya sheria ya copyright.
Hata huku kwetu ziko lakini hakuna kesi au lawama kutoka nje nimeiskia, hizi zetu tu ndio balaa kuifanyia marekebisho bila kibali kutoka kwa wenye filamu na bodi kuu
 
Utakuwa unwaonea sana DJ's (Dj MACK , DJ AFRO , DJ MURPHY n.k )
kwa kutaka kutoa translation ya kila kilicho semwa kwa sababu hizi

Kazi za DJ ni utangazaji - ahakikishe muangaliaji anaielewa Movie kiundani na sio kuwa translator wakutoa maneno kutoka katika kingereza na kuleta katika kiswahili , Kwa hiyo kuna muda atatoka nje ya mada au kuna mda atatumia sentensi nyingine ila maana itabaki pale pale.

Ni kweli kabisa kuna time DJ wanakosea na nikutokana na kuchoka, pia kupoteza focus ( focus kwa DJ ni dakika 15 tu - kuendelea mdomo unakua mzito na story zile zakunogesha zinapungua )

NAITUPIA LAWAMA KWA BODI YA FILAMU NA VIONGOZI WANAOHUSIANA NA AJIRA Kwanini?
Kuna fursa ya Dubbing na Movies Subtitle
Dubbing ni utoaji wa sauti ya kingeraza katika movie na kuiweka kwa lugha ya kiswahili huku sauti ikilandana na matendo(mfano mzuri Kulfi inayo rushwa Azam )
Subtitle ni kuziwekea movies tafsiri ya kiswahili kwa kuandika maneno juu ya video
Viongozi hawa ndo wana jukumu la kuangalia vijana wanao kaa nyumbani kwa miaka 10 bila kupata kazi. Wange anzaisha kama Hub ambazo vijana wakua wanafanya yao then kinachopatikana kinatumika
Hizi hub hazitakua chini ya serikali bali zitajitegemea zenyewe kutokana na ishu ya copyright

Soko la movies kwa Tanzania ni kubwa sana, Ila Hakuna wa kulicheki hili soko .
 
Ommy Dj anajitahid sana kuelezea movie kwa undan na anajua mambo mengi sana ya kihistoria,kisayansi na kijografia #Bravoo ommy d
 
Kwa kweli hawa watafsiri wa kitaaani wana uongo sana sema tu wamechangamka. Ingependeza sana wasomi wangekuwa wanatafsiri hizi movie na ikiwezekana wawe kundi na watafsiri kiuhusika kama ilivyotafsiriwa animation ya Kirikuu.

Pamoja na yote hii ni chance ya ajira pia. Au nakosea ndugu zangu?
Wabongo wengi wanapenda zaid mbwembwe za mtafsiri na sio usahihi wa kinachotafsiriwa. Yaan unakuta jamaa anatafsiri ktu tofauti kabisa na subtitle lakn anatia mbwembwe na vimaneno vya uongo uongo unajikuta unaenjoy kumsikiliza
 
Hapana mkuu haiwezi kudoda hata kidogo.

Kuna tamthilia flani zinarushwa tbc, azam, startime na startv nao walianza majuzi kati hapo kuonyesha zilizo_tafasiriwa na siyo kuelezea movie na kuna watu hawaachi/kukosa kuangalia daily huko buza, mbagara, manzese, uswahili, kijenge, ikipinda, isewe nk.
N kama zile movie za wahnd, znazorushwa azam tv kama sikosei,,, wanaongea kihindi but sauti unaskia maneno ya kiswahili
 
Back
Top Bottom