MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,512
- 15,128
Tuliza hasira kijana pesa kwake ni kawaidana pengine ata akumbuki km alipungukiwa sehemu kisa kununua kiwanja, watu wanahonga mnooo ni vile tu labda huna ela, pesa matumizi yake ndo kama hayo bana....cha muhimu akae na uyo wa tatu amchunguze taratibu sana japo ashakurupuka kupeleka barua ya posa ndo kaja jf sa sjui itasaidiaje
Suala sio watoto, ye anajua akiba ya watoto iko wapi bana msimpangie alimpa akiwa na akili timamu nauhakika ndo maana adi leo anakumbuka, ila hakuna alipolalamikia alijibana, nooo alimpa akiwa na uwezo navyoAna watoto huyo angekuwa hana hata akionga nyumba sawa
Nashukuru kwa ushauri. Nimeelewa na ndio maana nimeona nimekwama kifikra Kwani naimani kuanza upya sio ujinga bali kujua hatua nilizopiga vibaya.Nakutukana sababu vitu vingine vinauzi vinatia hasira unamnunuliaje hawara kiwanja bora angekua mke kiufupi hapo wote watatu hamna kitu ulikosea kutumia pesa sanaa kweny mapenz hapo hapendwi mtu linapendwa pochi
Pesa ni muhimu kweny mapenz ila isizidi MTU akupende wewe na hali yako anzaa upya .narudia anza upya
Au huyo wa tatu japo nae huyo sina imani ushamzoesha pesa ila huyo single mama big Noooo
Ushaur wa mwisho Fanya juu chini pokonya huyo mwanamke (hawara)kiwanja
Kuposa sio kuoa ndio maana natafuta uyakini wa matendo yangu kabla sijaumia zaidiTuliza hasira kijana pesa kwake ni kawaidana pengine ata akumbuki km alipungukiwa sehemu kisa kununua kiwanja, watu wanahonga mnooo ni vile tu labda huna ela, pesa matumizi yake ndo kama hayo bana....cha muhimu akae na uyo wa tatu amchunguze taratibu sana japo ashakurupuka kupeleka barua ya posa ndo kaja jf sa sjui itasaidiaje
Shukrani ndugu na ndio maana najiuliza wapi nitakuwa sahihi.Ukifeli kwenye mke wa kwanza mara nyingi huwa ndo umefeli jumla hutapata mwanamke aliekamilika duniani hayo mapungufu yake ni ya kawaida sana unajenga familia nzuri na mkeo huyo wa pili ni jini Bora umsahau kabisa kabla hujajuta wa tatu humjui bado unabahatisha
Shukrani kwa ushauri. Hakuna aliekamilika ndio maana nimekujaomba ushauri. Labda nikweli mshamba ndio maana nilifanya yote hayo. Ila sikuwa na fikra ya hayo niliona natimiza majukumu. Huyo wa pili sijamjengea ni kiwanja tu.I see wewe jamaa pamoja na kwamba unataka ushauri,lakini kipato chako unakitumia vibaya sana. Unajihisi miaka yote utakuwa kwenye pepo ya hela,bila kujua mambo huwa yanabadirika,tena huwa yanabadirika haraka sana. Kwa mtindo wako ukimuona tu mwanamke unaanza kumgawia mali kwa kumjengea kwa haraka tu bila sababu ili mradi tu ni mpenzi wako. Hata kama una hela zimejaa magunia lakini si kwa matumizi ya kijinga namna hiyo. MUNGU huwa anaona,amekupa wewe,wapo wenye uhitaji wengi,shukuru,kitumie vizuri. (Hata kama una hela lakini kikubwa wewe ni limbukeni wa mapenzi). Cha kufanya sasa,kama hakuna tatizo kubwa kati yenu na yule uliezaa nae wa kwanza mrudie huyo ishi nae. Kama unaona si lazima huyo basi muoe huyu wa sasa. Ila huyo wa pili uliemjengea bila sababu huyo umempa tu sadaka. Hakikisha unakuwa na mke wako huko ulikohamia.
Kwamba Kuna ambae Yuko vizuri kitandaniUyo wa pili alikuwa kwanza anataka ajaze kibubu ndo akuoneshe kuwa hakuitaji, wa tatu mhhhhh ujamiiani naye lakini sio bikra, yupo anayemuelewa kitandani kwa muda huo anaowapima mizani wote kwa pamoja achague yupi, cha muhimu usitumie nguvu sana Mungu anajua wako ni yupi
Naunga mkono hoja, hongera zake kwa kutapanya mali, kanikumbusha kisa cha kwenye biblia, mwana mpotevu, aliyetapanya mali zake kisha akafikia uamuzi wa kurudi kwa baba'ke baada ya mali kuisha. Wengine wamshauri tu.Hongra kwa kuwa na kipato kizur
Mengne nawaachia wakuu wakushaur
Basi kumbe ata mimi naweza kupata chance nsikate tamaaππππ cha muhimu usiwe na araka Mungu ni wetu sote ila pia jitafakari mama watoto alikosa nn na kuamua kuondoka, sio rahisi sana mwanamke bila sababu na watoto wake aamue kutengana na baba wa watoto, na je uyo wa pili alisoma nini akaamua kubadilika??? Labda kuna vitu vilimdisapoint na kumkatisha tamaa ya kutamani safari ya maisha na weweKuposa sio kuoa ndio maana natafuta uyakini wa matendo yangu kabla sijaumia zaidi
Asa unafikiri mwanamke kabisa mtu mzima nakutana na mwanaume eti anifanyi adi anioe, wakati huo tunachunguzana labda ndani ya mwaka mzima ni nini kinafanyika?????[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kwamba Kuna ambae Yuko vizuri kitandani