Nashindwa fanya maamuzi kati ya wanawake hawa wawili

Japo uyo kwa mtazamo wangu uyo wa tatu sioni kama atakufaa
 
Jamaa inaonekana unatanguliza pesa kwanza na hapa ndo unakosea.
Mwanamke ukimtangulizia pesa lazima aje halafu akiwa stable anakimbia.
Tafuta mwanamke halafu jifanye kama huna kitu yaan we ni mtu wa kawaida atakayekuvumilia na hiyo hali ndo anakupenda.
Usimtangazie mafanikio yako au kumpa ahadi nyingi kwa kua itamfanya aigize kukupenda.
God bless you
 
Kama unachoandkka ndicho chukua huyo wapili wengine achana nao
 
Tunaposema singo maza sio species za kuoa huwa hamtuelewi sio eeeh![emoji57]

Halafu unaongaje hawara kiwanja hata kama ana K tamu kama ya beyonce hawara haongwi mali nzito kama hizo labda pafyumu na hela ya wigi labda angekuwa mkeo .

Nachoona hapo hao wawili ushakosea wote namna ya kuwahandle toka awali

Reset by default anza upya Tafuta mwanamke mwingine na usitangulize hela Wala majotro yanayohusiana na hela
 
Unayumba kwa nini?
1.Ushaona mtu hana mpango na wew, bado unakomaaa na huku ukijua hapa sitakiw, lakini huwezi kuamua.
2.Una mtolea mtu posa inajibiwa harafu huna uhakika kama wataka kumuoa au hapana.
3.Kushindwa kuchagua kati ya pema na pabaya.
 
Ukimaluzana nae uje kwangu unijengee mkuu
Nyumba ikiisha tutaachana tu kwa amani
 
Mleta mada unatutia aibu wanaume. Kiufupi ulitakiwa uwe ke
 
Mrudie mkeo mlioanza nae maisha hawa wengine piga chini
 
Mkuu usitumie pesa kufurahisha wanawake.
Huyo wa pili si ulishamuambia barua imekwisha muda wake?
Hofu yako nini?
Huyo bado ana uhusiano na mzazi mwenzie ndio maana walikuwa wanaelewana terms zitakavyokuwa.
Usijejikuta unalea watoto wa mwanaume mwenzio na wako umewaacha wanapata tabu kwa huyo mtalaka wako.
 
Shukrani sana ndugu zangu japo hatujuani kwa sura lkn jamii forum imenieka karibu n nyie.

Nashukuru kwakuwa nilipokwama nimepajua na nini natakiwa kufanya nimejua na naimani sikuja humu ili kujikweza au kujidhalilisha bali nilitaka mawazo juu ya nn nifanye nikiwa na taadhira ya kutambua sijakamilika na Nahitaji kushauriwa.

Nashukuru tena na tena naimani ni Mola alinielekeza kuja huku ili niitambue Dunia kwakuwa unaweza ishi lkn usiitambue Dunia kwa upande wa pili

Mola awalipe kheri kwa note mlionipa ushauri wa kujenga na naimani wengine pia wamejifunza kwa hili.

Kwakuwa usipo soma kwa mwenzio watu watasoma kwako.

Mungu awabariki
 
Mapenzi bhana anayekupenda humpendi. Unayempenda hakupendi. Ukiwa na pesa unampata anayependa kuliwa papuchi kuliko pesa. Ukiwa huna pesa na unapenda papuchi unampata anayependa zaidi pesa.
 
Uzoefu uzoefu uzoefu. Kujifunzia wanawake ukubwani nalo ni tatizo jingine. Mapenzi ya kishuleshule unakuja kuyafanya ukubwani.
 
Ngoja nile kwanza,
Hii JF Ukitoa ushauri huku unanjaa, wawezwa pigwa ban
 
Unashindwaje kujua unampenda nani? Ina maana wewe hujui kupenda. Na unadhani mwanamke ukimpa nyumba na mali ndio atakupenda na kukuheshimu?. Akili yako haijakomaa. Kwa nini uandike jina la mwanamke kwenye nyumba yako? Nyumba zako zote weka jina lako. Kisha andika wosia siku ukifa nani achukue nini. Unaweza kumpa mwanamke unayempenda nyumba kumbe yeye ndio kwanza anakuona kikaragosi. Baada ya muda anamleta hawara "aliyemkuna vizuri" akaishi naye kwenye mbele ya macho yako ndani ya nyumba uliyompa. Halafu akakutukana na kukidharau hadharani. Unaposikia mtu amemuua mkewe kwa wivu wa mapenzi ni mambo kama hayo. Wanawake ni viumbe wa ajabu. Hawatabiriki. Na wanaweza kubadilika ghafla. Ishi nao kwa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…