Nashindwa kabisa kumuelewa Tundu Lissu, moja kati ya wanasiasa niliokuwa nawakubali sana

Urais hata Steve Nyerere , Kingwendu wanaweza kugombea, kwani kugombea urais si ukiwa na chama, ukajaza fomu chama chako kikau endorse unagombea....
Haahaa ni zaidi ya Hilo boss, pole hujui mengi.Anayepitisha kugombea urais SI chama chako tu, acha kejeli.Kagombee wewe tuone
 
kwahiyo demokrasi inakuwa defined na ukomo wamadaraka?
My thinking ni kuwa as long as katiba inaruhusu na watu wamekuchagua bila mizengwe, then that is democracy on this aspect
Mkuu demokrasia Ina vigezo vingi sio kuchaguliwa tu, hata kubadilishana madaraka pia.Huwezi kukaa miaka 50+ madarakani peke yako unagombea tu unasema ni demokrasia, term limit ni muhimu
 
Kwa vyovyote Lisu he will not win! uyu hafai kwa lolote...tunabishana hapa kwa vile hatujui tunabihana na nani..si ajabu ni D2.......
He will not win ni sawa but hafai kwa lolote sio kweli. Lissu ndie mwanasiasa anaefaa kwa kizazi cha sasa.

Marekani Trump walikua wanamsema hafai, sijui mropokaji, sijui nini wanachi ndio wakamchagua kwa kura nyingi.

Stori za nani hafai hazina maana, watu wanasikiliza hoja. Mbowe anasema hawezi kustaafu kisa hajafikisha miaka 68, huyo ni mtu ana akili timamu kweli?

Kwa maelezo ya ushahidi uliotolewa na Lissu na Msigwa, ishu ya mbowe sio miaka 68 bali ni wizi wa ruzuku, hakuna kingine.
 
mweupe mwenzao ...camara mweusi that was the deciding factor
Tuhuma za Trump mropokaji zimeanza toka enzi za Hillary Clinton ambae alikua mweupe wemzao.

Wakaapa Trump hawezi kua Rais, hana sifa za urais nk lakini wanachi wakaelewa hizi ni propaganda tu.
 
Kwa maelezo ya ushahidi uliotolewa na Lissu na Msigwa, ishu ya mbowe sio miaka 68 bali ni wizi wa ruzuku, hakuna kingine.
maelezo ni submission, not evidence........................................
 
gender was the deciding factor. Kumbuka kura za wananchi hilary won.....kumbe you are not knowledgeable but wrongly informed
Sasa kati ya mimi na wewe nani yuko wrongly informed ama yuko uninformed kwenye world politics? Kinachompa mtu urais Marekani ni kura za wananchi ama Electoral College? Yeye Clinton aligombea kutaka kura za wananchi ama Electoral College ili ashinde urais? Ama umeanza kufuatilia siasa za Marekani kipindi cha Clinton?

Sasa umebakia kuruka ruka mara color, mara gender mara sijui kura za wananchi.

Hebu tenga muda wa kua unajisomea kujiongezea maarifa kuepusha na aibu za kuandika uharo humu.
 
Ukiona mtu anang'ang'anja uongozi Kuna kitu sio bure.
 
Mkuu
Kwa sasa Lisu ndiye mwanasiasa pekee aliyevunja utamaduni wa kukumbatia maovu kwa kivuli cha siri za ndani.

Yaani mnaishi na majambazi na kuamua kuwafichia siri ilihali majirani wanazidi kuwa wahanga?

Akipata uenyekiti utamuelewa vyema sana
 
Mkuu
Kwa sasa Lisu ndiye mwanasiasa pekee aliyevunja utamaduni wa kukumbatia maovu kwa kivuli cha siri za ndani.

Yaani mnaishi na majambazi na kuamua kuwafichia siri ilihali majirani wanazidi kuwa wahanga?

Akipata uenyekiti utamuelewa vyema sana
Lisu anafaya submissions, submissions are not evidence. Anaropoka bila ushahidi na kungamiza chadema.

Mfano wa kuropoka with evidence: Alisema Mbowe kahongwa na serikali V8 mbili, kumbe zilinunuliwa kweye mnada wa Ubalozi. Kuna watu wanamlisha uongo na anaueneza bila ushahidi!

Chadema is on the blink of death
Mbowe asimwachie chama Lisu...................
 
No, sitakujibu......., please thoroughly analyze Lisu's recent behavior! particularly in terms of relationship with his team mate in his party
Vingereza vingi pumba tupu. Umeshaonja asali unaandika utopolo tuuu kisa kumshusha lissu. Lisuu si malaika ana mapungufu yake Kama binadamu hata ww una mapungufu pia.
 

Ongezea na kudanganywa na kufanyiwa gilib.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…