Nashindwa kuamini hiki ninachokisoma kuhusu haya makato ya LUKU

Unit moja inauzwa Euro zaidi ya 30. Utalinganiasha na Tz?
Usibishe kitu ambacho hujui, uliza.



Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Nchi gani hiyo ya Ulaya inauza umeme unit moja ( 1 kWh) kwa Euro zaidi ya 30!? Yaani unit moja ya huko Ulaya bei yake ni sawa na 30 x2400 = TZS 72, 000.00!!! Yaani unit moja bei yake sawa shiling za kitanzania elfu 72!!!!!!!
====
 
Sema wewe bei ya umeme, siyo uanibishia halafu hauna data.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kwani wewe unaishi wapi?
 
Acha kulia lia,fanyakazi,ujikimu.
 
Haki nammiss huyu mzee na anisamehe kwa mawazo yangu mabaya kwake[emoji22][emoji22]

I love u JPM[emoji8][emoji8]
Licha ya makandokando yake, Magufuli aliwajali sana watu wa kipato cha chini. Katika uongozi wake kamwe asingeruhusu haya matozo ya hovyo hovyo.

Huyu Madam tuliyenaye anajifanya "mpole" lakini ndani ni "mbwa mwitu mkali sana.
 
Siri kubwa nawapeni chini ya kapeti .....baada ya watu kususa kutumia huduma za simu zenye tozo uchumi umeyumba vibaya kikao kikafanyika cha siri cha baraza ikulu hivyo wakasema waweke tozo kwenye umeme kwa kisingizio cha kodi ya jengo ,Dawa kwetu watanzania ni kupunguza gharama za matumizi ya umeme kwa nusu nunua nguo zisizo hitaji kupigwa past punguza kutumia friji na heater nk
 
Siyo huyo tu alikuwa na chuki mother ni zaidi ndege yetu hadi chupii zinafuliwa na kuanikwa ndani ya ndege mm hapo ndiyo nilibaki mdomo wazi
 
Hivi ni nn hii ,sielewi
 
Siyo huyo tu alikuwa na chuki mother ni zaidi ndege yetu hadi chupii zinafuliwa na kuanikwa ndani ya ndege mm hapo ndiyo nilibaki mdomo wazi
Duh! Ebu funguka zaidi,nasi utupe uhondo!!
 
Mimi napinga ile kauli yake eti "MIMI NA MAGUFURI NI KITU KIMOJA" hapana ni vitu viwili tofauti.

Kwanza mzee baba alikuwa haupigi mwingi, then alikuwa na presha yake kiuchumi, ila hawa binadamu now days ni kupaa nje ya mipaka 😨!.
 
Nchii hii. Niko na sehemu ni kiwanja kisichokjwa na nyumba na ni sehemu ya kuoshea magari. Nako kuna tizo ya pango lakini hakuna jengo!!

Kama wanataka kuwe angalau na haki katika hili - wasiseme ni tozo ya jengo. Waseme ni tozo kwa kuwa na mita ya LUKU. Kama ilivo kwa mita za maji ambazo zina service charge au ilivo kwa account za benki ambazo zina makato wa mwezi na walio na fedha huko hawalalamiki.

Huenda wana haki ya kukusanya tozo hizi - shida yao kubwa ni maelezo yaliyonyooka. How to use the money has never been in itself a justification for collecting it!! Utasikia kujenga madarasa, sijui kununua madawati kama sababu za kukata tozo. Waseme tu wameanzisha service charges za kuwa na registered utililty meter!! Period!!
 
Serikali ya majambazi hii,na bado tutakoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…