Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Zerolism....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hivi baada ya kupigwa na "tozo" wanakiri kuwa wao ni "wanyonge".😂😂😂Na wengine walidiriki kusema Tanzania haina wanyonge hahahaha dah.
poa mkewanguWanaolalamikia BUKU kuichangia NCHI yao ni WAPUMBAVU, afu hao hao wanadai waongezewe mishahara, vifaa tiba, barabara nzuri nk. Wako tayari kumchangia LEMA kwenye namba yake binafsi eti anazunzuka dunia kudai demokrasia. NYIE MNAOLALAMIKA NI WAPUMBAVU NA WAJINGA. MKIWEZA HAMENI WANAUME TUIJENGE NCHI YETU HATA MAKATO YANGEKUWA BUKU 5.
Acha uvivu wa akili, CHANGIA MAENDELEO YA NCHI YAKO.Ameandika Evans Rubara
I have just paid for Luku from @tanescoyetu this evening. Now @TRATanzania tell me what debt you have with me. This is fricking idiotic. Ndg. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania @SuluhuSamia tuambie kama umeshindwa kuongoza hii nchi kwa busara alizokupa Mwenyezi Mungu.
View attachment 1900475
usisahau pia kuwa huwa zinanunua magari ya gharama kwa viongozi wetu.Acha uvivu wa akili, CHANGIA MAENDELEO YA NCHI YAKO.
Buku 5 zinakutoa roho, japo unaelewa kuwa zinakwenda kuendeleza nchi na wanachi wake.
Unaishi kwa shemeji kula dezo kulala dezo eehh hujuwi ugumu wa maisha...Acha uvivu wa akili, CHANGIA MAENDELEO YA NCHI YAKO.
Buku 5 zinakutoa roho, japo unaelewa kuwa zinakwenda kuendeleza nchi na wanachi wake.
CCM itoke kwa kubuni mbinu nzuri za kukamilisha miradi,wewe unamwaKunauwezekana mkubwa mshauri wa hii kitu anataka kuitoa madarakan ccm ila anatumia mbinu hii ya bills, kimsingi nafkr bado Ni dogo, ashauri ifikie had 1000% ifike mpka, nauli, ziongezeke, maji, umeme happy ndpo akili itatukaa vzr,
Naona mama yy Wala Hana habar maana Kwanza katiba ndo imemfanya awepo kwa hyo tutajijua wenyewe,
Kwa mtazamo wangu nafkr bado Sana waongeze zaidi na zaidi...
Mkuu hujakosea kwel mm nimgonjwa hasa, ccm haiwezi kutoka kwa akili ndogo ya vyama mkuu itatolewa na wao wenyewe, kunawatu kwao hii Ni fursa, tozo songa mbele, cjui kwa nn za cm waliahilisha ila nahic zinakuja tu, mpka ck akili akitusogeleaCCM itoke kwa kubuni mbinu nzuri za kukamilisha miradi,wewe unamwa
USSR
Mama Anaipiga mwingi mnoMama anaupiga mwingiii
Hivi bado matanga wanapiga kelele?
DuuhWanasubiri tuzoe waje na tozo zingine.
Mbona nimeanza tena kuona nafuu ya mwendazake. Kweli utajua mazuri ya mtu akishasepaHuyo jamaa ni boya tu, yule Mzee aliefariki alikuwa na madhaifu yake ila sidhani kama angewahi kuruhusu huu upumbavu kwenye serikali yake.
Ninachoamini huu ni kwanzo tu,kuna mabaya mengi yanakuja mbele ya Safari.
Watu wanajadili mambo yanayowagusa wananchi bila kujali itikadi zao, unabaki kuongelea mavyama yenu hayo. Yaani unaona ni vizuri sana, utoto mtupu.Chadema walisema Mungu amewajibu haya ndio majibu
USSR