Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hii tozo ya nyumba magufuli alishazungumza kwamba angeweka kwenye umeme haya matozo hata huyo Mungu wenu magufuli angeyaweka tu maana ilikuwa imefikia hata yeye kukosa namna maana kama pesa za kunyang'anya kwenye akaunti za watu zilikuwa zimeisha tatizo watanzania wepesi wa kusahauHuyo jamaa ni boya tu, yule Mzee aliefariki alikuwa na madhaifu yake ila sidhani kama angewahi kuruhusu huu upumbavu kwenye serikali yake.
Ninachoamini huu ni kwanzo tu,kuna mabaya mengi yanakuja mbele ya Safari.
Nashangaa wanaomlaumu samia aliyetufikisha hapa ni magufuli.Ndo akili zako zumekutuma huko?
President Samia hana tatizo kabisa, tatizo lilianza kwenye kupenda sifa za kijinga jinga hivi,zitatugharimu kwa miaka mingi sanaaa
Mmeshikwa pumbu kidogo tu mnalilia nn tulieni dawa ingieIn short
Hatuna Rais
Wanachukua hela za wananchi kula viyoyozi
Pumbavu kabisa
Futa hii msg haraka sana kabla Zungu na Mwigulu hawajaiona,utatuponza wenye Ving'amuzi vyetu ndiyo kwanza vipya!!Kodi ni muhimu kwa maendeleo ya taifa letu. Kuna maeneo bado yamesahaulika. Wakubwa tupieni jicho kwenye ving"amuzi vya runinga! Kila mwezi na wao wachangie kidogo kujenga taifa!
Alisema mwenyewe kuwa wao ni kitu kimojaNashangaa wanaomlaumu samia aliyetufikisha hapa ni magufuli.
Wewe na maccm wenzako ndiyo wajinga na wapumbavuWATANZANIA NI WAJINGA NA WAPUMBAVU SANA. YAAN MTU ANAKAA ANALALAMIKA BUKU KWA MWEZI. SISI NI WAPUMBAVU.
umeandika kwa uchungu sana kisa wanaume (wazee wa kazi) wamekupaka mafuta na hawajakulipa.WATANZANIA NI WAJINGA NA WAPUMBAVU SANA. YAAN MTU ANAKAA ANALALAMIKA BUKU KWA MWEZI. SISI NI WAPUMBAVU.
DuuuuuhHabari za jioni wateja wetu.
Kuanzia leo sheria ya kulipa kodi ya jengo kupitia manunuzi ya umeme imeanza kutekelezwa.
Kwa hiyo mteja akinunua umeme atakatwa shs 2000 ikiwa ni kodi ya Jengo inayodaiwa na Tra.kodi hii ilitakiwa kuanza tarehe 01.07.2021 lakini imeanza leo.
Hivyo mteja akinunua umeme kuanzila leo atakatwa shs 2000 ambayo ni kodi ya jengo ya miezi miwili ya (Julai na Agasti.)
Tunawashauri wateja wetu wanunue umeme wa kuanzia 3000 ili walipie kodi ya jengo 2000 na shs 1000 wapate umeme.
Imetolewa na:
Ofisi ya uhusiano na huduma kwa wateja
TANESCO
20.08.2021
Copy and paste
Wanaolalamikia BUKU kuichangia NCHI yao ni WAPUMBAVU, afu hao hao wanadai waongezewe mishahara, vifaa tiba, barabara nzuri nk. Wako tayari kumchangia LEMA kwenye namba yake binafsi eti anazunzuka dunia kudai demokrasia. NYIE MNAOLALAMIKA NI WAPUMBAVU NA WAJINGA. MKIWEZA HAMENI WANAUME TUIJENGE NCHI YETU HATA MAKATO YANGEKUWA BUKU 5.umeandika kwa uchungu sana kisa wanaume (wazee wa kazi) wamekupaka mafuta na hawajakulipa.
vp unatembea kwa kuchechemea au umepona kwavile umeshazoea.
Wanatakiwa kunegotiate tu
USS
hahahaaTena Mimi tarehe 01 sept naanza kuwatokza laki 2 kwa room hawataki wahame nipangishe Kuku, Bata na Kanga!!!
Umekuta babu zao walipambana namna hii wewe unalelewa kwenye kazi za wanaume wenzakoKwa taarifa yako nchi ninayokaa haina kodi za kishenzi kama hizo. Ila naumia kwa sababu Tanzania ni nchi yangu. Nawaonea Watanzania huruma.
JPM aliposema anawatumikia wanannchi mlisema hakuna maskiniHuyu bibi nchi imemshinda, anawapa masikini mzigo mkubwa sana wa gharama za maisha.
Bibi alaaniwe!!
Wacha yawakuteNyie mlifanya sherehe kifo cha JPM nawaambia wapo wanalipiza watanzania wasipopaza sauti mpaka huyu mama anatoka tutakuwa tumekoma.
Jpm alikuwa na mjia za kukusanya kodi na si kumgusa mwananchi mwenye maisha ya kawaida.
Bado hamjamkumbuka tu jpm?