Nashindwa kuamini hiki ninachokisoma kuhusu haya makato ya LUKU

Nashindwa kuamini hiki ninachokisoma kuhusu haya makato ya LUKU

Huyo jamaa ni boya tu, yule Mzee aliefariki alikuwa na madhaifu yake ila sidhani kama angewahi kuruhusu huu upumbavu kwenye serikali yake.

Ninachoamini huu ni kwanzo tu,kuna mabaya mengi yanakuja mbele ya Safari.
Mbona hii tozo ya nyumba magufuli alishazungumza kwamba angeweka kwenye umeme haya matozo hata huyo Mungu wenu magufuli angeyaweka tu maana ilikuwa imefikia hata yeye kukosa namna maana kama pesa za kunyang'anya kwenye akaunti za watu zilikuwa zimeisha tatizo watanzania wepesi wa kusahau
 
Ndo akili zako zumekutuma huko?
President Samia hana tatizo kabisa, tatizo lilianza kwenye kupenda sifa za kijinga jinga hivi,zitatugharimu kwa miaka mingi sanaaa
Nashangaa wanaomlaumu samia aliyetufikisha hapa ni magufuli.
 
WATANZANIA NI WAJINGA NA WAPUMBAVU SANA. YAAN MTU ANAKAA ANALALAMIKA BUKU KWA MWEZI. SISI NI WAPUMBAVU.
 
Kldi ilitakiwa kuanza kulipwa mwezi wa 7 hivyo hapo umelipa mwezi wa 7 na nane.

Ofukozi mama anaupiga mwingi sana.
 
Kodi ni muhimu kwa maendeleo ya taifa letu. Kuna maeneo bado yamesahaulika. Wakubwa tupieni jicho kwenye ving"amuzi vya runinga! Kila mwezi na wao wachangie kidogo kujenga taifa!
Futa hii msg haraka sana kabla Zungu na Mwigulu hawajaiona,utatuponza wenye Ving'amuzi vyetu ndiyo kwanza vipya!!
 
WATANZANIA NI WAJINGA NA WAPUMBAVU SANA. YAAN MTU ANAKAA ANALALAMIKA BUKU KWA MWEZI. SISI NI WAPUMBAVU.
umeandika kwa uchungu sana kisa wanaume (wazee wa kazi) wamekupaka mafuta na hawajakulipa.

vp unatembea kwa kuchechemea au umepona kwavile umeshazoea.
 
Habari za jioni wateja wetu.
Kuanzia leo sheria ya kulipa kodi ya jengo kupitia manunuzi ya umeme imeanza kutekelezwa.
Kwa hiyo mteja akinunua umeme atakatwa shs 2000 ikiwa ni kodi ya Jengo inayodaiwa na Tra.kodi hii ilitakiwa kuanza tarehe 01.07.2021 lakini imeanza leo.
Hivyo mteja akinunua umeme kuanzila leo atakatwa shs 2000 ambayo ni kodi ya jengo ya miezi miwili ya (Julai na Agasti.)
Tunawashauri wateja wetu wanunue umeme wa kuanzia 3000 ili walipie kodi ya jengo 2000 na shs 1000 wapate umeme.
Imetolewa na:
Ofisi ya uhusiano na huduma kwa wateja
TANESCO
20.08.2021


Copy and paste
Duuuuuh
Tunasubiri wakati wa kunena kwa lugha sasa
 
umeandika kwa uchungu sana kisa wanaume (wazee wa kazi) wamekupaka mafuta na hawajakulipa.

vp unatembea kwa kuchechemea au umepona kwavile umeshazoea.
Wanaolalamikia BUKU kuichangia NCHI yao ni WAPUMBAVU, afu hao hao wanadai waongezewe mishahara, vifaa tiba, barabara nzuri nk. Wako tayari kumchangia LEMA kwenye namba yake binafsi eti anazunzuka dunia kudai demokrasia. NYIE MNAOLALAMIKA NI WAPUMBAVU NA WAJINGA. MKIWEZA HAMENI WANAUME TUIJENGE NCHI YETU HATA MAKATO YANGEKUWA BUKU 5.
 
Acheni uongo nyie CHADEMA hizo Kodi zinawahusu nyinyi wapinga maendeleo,sisi ukiwa na kadi ya CCM
Tu ukionesha hizo Kodi hazipo labda huko kwenu wapingaji na mlituchelewesha Sana kimaendeleo.

(In Bia yetu Voices)

Anyway Bibi Kigagula anaupiga mrefu Sana mbaka utatoka nje!

Dadeq!
 
Kwa taarifa yako nchi ninayokaa haina kodi za kishenzi kama hizo. Ila naumia kwa sababu Tanzania ni nchi yangu. Nawaonea Watanzania huruma.
Umekuta babu zao walipambana namna hii wewe unalelewa kwenye kazi za wanaume wenzako

USSR
 
Nyie mlifanya sherehe kifo cha JPM nawaambia wapo wanalipiza watanzania wasipopaza sauti mpaka huyu mama anatoka tutakuwa tumekoma.
Jpm alikuwa na mjia za kukusanya kodi na si kumgusa mwananchi mwenye maisha ya kawaida.

Bado hamjamkumbuka tu jpm?
Wacha yawakute

Usse
 
Back
Top Bottom