nankumene
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 7,355
- 8,149
kila siku tozo na kodi nzinaongezeka ila mishahara iko palepale, yaani kuongeza tozo na kodi ndio imekua njia ya kuongeza mapato ya nchi, ndio maana mi huwa sipendi ile mikelele yao ya ooh hii nchi ina rasilimali myingi maana hio sio hoja muhimu issue ni vipi hizo rasilimali zinatumika kuwanufaisha wananchi wake