Nashindwa kuamini hiki ninachokisoma kuhusu haya makato ya LUKU

Nashindwa kuamini hiki ninachokisoma kuhusu haya makato ya LUKU

Hivi haya mambo kwanini yamekua shida zaid baada ya kuingia mtaalamu wa uchumi Mwigulu???
Mwigulu ana hasira na Watanzania,Magu alivyomtumbua si mlikua mnamcheka,Mara arudi Singida akalime,na yeye kweli alirudi zake Singida kulima hadi picha alitupia akiwa Shamba analima! Magu kufariki Mama kamrudisha tena,Sasa na yeye kaamua kuwakomoa sasa! Kuna watu Wana visasi hata ipite miaka mingapi! Ndiyo maana Mwigulu anajibu anavyotaka,Kama huriziki na Tz hamia Burundi! by Mwigulu!!
 
Heli yako ww unapata hata huo umeme wa galama sisi hapa nselewa hatuupati kabisa toka tulipoti tatizo sasa ni mwezi wanazunguka
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wacha waisomee nambaaaa eeee Chadema mbele kwa mbeeeleee dadadeki na bado....
Sasa tunapumua, tuko huru, uhuru wa kuongea umerudi!

[emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]Kabisa
 
Huyu Waziri wa Fedha ni janga la Taifa letu! Tangu apewe uwaziri ni shida kwene:
1. Bei ya Petrol na Diesel.
2. Tozo za Miamala ya simu.
3. Kodi za Majengo.
Huyu Mwigulu Nchemba anatamani awatoze Kodi Watz hata kwenye hewa wanayopumua!!!
Leo anatamba kukusanya 48B kwa kisingizio kuwa zitapeleka maendeleo ya shule na zahanati!
Hivi chanzo Kodi ni Miamala ya simu tu? Fedha ya MADINI yetu,MBUGA za WANYAMA,BANDARI,n.k. ziko wapi?
Tulia wewe libavicha!!!

Tuko huru, tunapumua, mama anatufuta machozi, tulinyanyaswa sana na yule dhalimu!

Alisikika taahira nmoja toka ufipa
 
Mama anajua hata akijaribu kua Kama Mtangulizi wake bado mtamtukana tu, maana anajua Watanzania hawana shukhurani na wengi hawajui wanachokitaka, JK wa Msoga alitukanwa hadi kuitwa Dhaifu,akawaletea Chuma kigumu nacho pia mkasema ni Dikteta!! Sasa Mama kamua mradi liende Maisha yasongee!!
ukiwa kiongozi kupingwa ni kawaida ulitaka wapigiwe makofi kilasaa? Yesu tuu ali/anapingwa chamuhimu nikujitahidi kufanya vyamsingi! Matozotozo yaajabu ajabu tulishapinga na yakafutwa
 
Betri ngapi unaunganisha na huo umeme una uwezo wa kuwasha TV, Pasi.Friji, Taa na Feni?
Naomba ufafanuzi!!!
Since ugunduzi wake hakuna mtu au taasisi iliyojikita katika kuboresha uwezekano wa kuzalisha nishati ya kutosha kwa ajili ya hayo yote, ila matokeo ya uhakika ninayofahamu ni kuwasha taa zote bila ajizi, nahitaji muda wa kufuatilia kususu kuwasha tv, pasi nk.

Caution huu umeme na radi ndio mahala pake, ila utafhagua radi au tozo
 
Continue to Rest Easy Magufuli,
Ulitupenda na Ukaji sacrifice Maisha yako kwa ajili ya sisi Wanyonge, umetuacha peke yetu, twakukumbuka Baba [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Sema eemen
1629522512628.png
 
Wengi wameshaanza kumuelewa na kutamani arudi ila wakiwa humu full kujimwambafai kama general ole sabaya

Bado tozo ya vocha ipo jikoni
Dah! Nilikuwa namchukia sana mwenda zake ila now natamani hata afufuke aje kuendeleza nchi yake
 
Back
Top Bottom