Nashindwa kuamini hiki ninachokisoma kuhusu haya makato ya LUKU

Nashindwa kuamini hiki ninachokisoma kuhusu haya makato ya LUKU

so wapangaji wanamsaidia mwenye nyumba kulipia nyumba yake loh, huu ubunifu hatar
 
Nchi hii imefika pabaya. Mabeyo na watu wake waingilie kati. Yaani hata umeme tunapangiwa tununue wa shilingi ngapi! Kwani mnatupa hela vile?
Unahoja za kijinga Sana mnajiita wazalendo ila mnalialia sana

USSR
 
Sie watumishi tulishachangia ndege reli ya sgr, bwawa la umeme, zahanati. Hatukupandishwa mishahara miaka 5 mkachekelea maumivu yetu, Sasa hivi wote tunachangia maendeleo. Acheni kelele
 
Fala wewe. Mwenye hoja za kijinga ni mamako. Watanzania wanaelezea wanavyojisikia wewe unaleta hapa ushabiki mavi. Katika wachangajia wote hapa wewe tu unawatetea majambazi wa CCM hapa. Uone aibu kwa ujinga wako.
Unahoja za kijinga Sana mnajiita wazalendo ila mnalialia sana

USSR
 
Uzalendo ni undondocha. Mi ni mtu wa sayari nzima siyo kasehemu tu kwenye sayari hii. Uzalendo danganyana na wajinga wenzio huko.
Hongera wewe unayelala gizani kwa kugoma kulipa 12000tu ,akili zako Kama za wanao

USSR
 
Kwa taarifa yako nchi ninayokaa haina kodi za kishenzi kama hizo. Ila naumia kwa sababu Tanzania ni nchi yangu. Nawaonea Watanzania huruma.
Hongera wewe unayelala gizani kwa kugoma kulipa 12000tu ,akili zako Kama za wanao

USSR
 
Huyu bibi nchi imemshinda, anawapa masikini mzigo mkubwa sana wa gharama za maisha.
Bibi alaaniwe!!
 
Maza anaupiga mwingi sana hadi raha. Tozo na kodi ni ndogo sana ziongezwe hata mara kumi ili wateule wooote wapate maviieite na waongezewe mishahara. Kama alivyosema Mwigulu Nchemba asiyetaka ahamie Burundi tu milango ya kutokea iko wazi. CCM oyeeeee
 
Ameandika Evans Rubara

I have just paid for Luku from @tanescoyetu this evening. Now @TRATanzania tell me what debt you have with me. This is fricking idiotic. Ndg. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania @SuluhuSamia tuambie kama umeshindwa kuongoza hii nchi kwa busara alizokupa Mwenyezi Mungu.

View attachment 1900475
IMG-20210821-WA0008.jpg
 
Kodi ni muhimu kwa maendeleo ya taifa letu. Kuna maeneo bado yamesahaulika. Wakubwa tupieni jicho kwenye ving"amuzi vya runinga! Kila mwezi na wao wachangie kidogo kujenga taifa!
 
Haya makato hayana mwenyewe kabisa

because siyo ya je go tena, ni ya luku

hard to account for
 
Tatizo la waafrika ni ubinafsi na hatutaendelea hadi dunia inaisha hakuna kiongozi aliopo kwaajili ya raia wake hivi kama nchi haina hela kwanini tunaendelea na zigo la wabunge wasio na tija wanaolipwa mamilioni ya hela kwanini wasipunguzwe kila mkoa ubaki na mbunge mmoja tuuuuuuu???
Wakiangalia makusanyo yalivyo mengi hiyo hoja yako haiwez kupita hii ni sawa na mama kumlalamikia baba eti sigara anazovuta kila siku ndizo umaliza pesa hadi watoto wanakosa viatu.
 
Kodi ni muhimu kwa maendeleo ya taifa letu. Kuna maeneo bado yamesahaulika. Wakubwa tupieni jicho kwenye ving"amuzi vya runinga! Kila mwezi na wao wachangie kidogo kujenga taifa!
Sema wewe ndio uchangie kama ilivyo kwa luku na nyumba.
 
Nyie mlifanya sherehe kifo cha JPM nawaambia wapo wanalipiza watanzania wasipopaza sauti mpaka huyu mama anatoka tutakuwa tumekoma.
Jpm alikuwa na mjia za kukusanya kodi na si kumgusa mwananchi mwenye maisha ya kawaida.

Bado hamjamkumbuka tu jpm?
 
  • Thanks
Reactions: nao
Naanza kufikiria kuweka umeme jua ili niachane na Tanesco,kumbe kupunguza gharama za kuweka umeme na kuwa TZS 27,000 ilikuwa ni mtego, tulifurahia umeme wa REA kumbe kuna shughuli nyuma ya pazia
Wewe ulidhani ni hela ndogo??
 
Back
Top Bottom