nyundo2017
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 1,439
- 861
Wanatafuta jinsi ya kuwasahaulisha habari ya chanjo!!!Walilia chanjo weee. Hio imeletwa kwa makato na kodi kubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatafuta jinsi ya kuwasahaulisha habari ya chanjo!!!Walilia chanjo weee. Hio imeletwa kwa makato na kodi kubwa
Ndio tuamke sasa tuonyeshe hii nchi ya kwetu sote na sio watawala tuHii nchi imeshakuwa ngumu kuishi! Cha kushangaza hao wanao pitisha hizi sheria kandamizi, wenyewe wanaishi kwenye nyumba za bure! Huku wakilipiwa bili zote!!!
So sad 🙁
Wewe msubilie lisu wako siku akiwa rais atashushaNazungumzia serikali kuu Mkuu na sio Bunge!! Serikali kuu ndio inatimiza ilani yake ya kuleta maendeleo na si BUNGE..
Wahuni sana hawa watu. Bahati nzuri uongo kwao unalipa kuliko ukweli.
Hawa watu ni wasenge sanaHuu SASA ndo wizi mkuu, badala ya buk ya Kodi ya nyumba Kwa kila Luku, SASA wameiweka buk 2?
Sisi wazalendo ambayo siyo wanyonge haituumizi kama maccm mapumbavu na wanyongeHii elfu 12 ni pesa ya Kilimanjaro tu haimizi kivile
USSR
Wewe msubilie lisu wako siku akiwa rais atashusha
USSR
Kwa kweli tutaamia kwenye solarSi walisema wanakata Buku 1 kwa mwezi ,why wakate elfu 2? Mimi natumia solar huku porini so sijui hayo makato.
Bosi wako yuko sero kwa ugaidi amekuwa mnyonge balaa,nyie kelele zetu jf tuSisi wazalendo ambayo siyo wanyonge haituumizi kama maccm mapumbavu na wanyonge
Huu SASA ndo wizi mkuu, badala ya buk ya Kodi ya nyumba Kwa kila Luku, SASA wameiweka buk 2?
Tuna lipa Kodi kila siku kwenye mishahara na biashara tumezoea ,shida wezi wa ruzuku nyie mnalialiaMtajijua nyinyi na serikali yenu ya kijani ,uzuri hayo matozo yenu yasiyo na kichwa wala miguu yana option! mtu akizidiwa hatumi fedha anapeleka kwa basi na vile vile kuna option ya solar kukimbia hiyo elfu 12 yao ya kodi.
Biashara za kulipa kwa mtandao zinakufa, biashara hizo zilikuwa zikiingiza pesa kupitia kodi, usafirishaji na kutoa ajira kwenye marketing channel zake.Yaani wanatuona waTZ mazuzu hatujui kitu.....Wameleta matozo yao yameshusha miamala sana mtu alikuwa anapata commision hdi laki 6 lakin wakala sasa anacheza na commision ya laki na ushee!!
Huyu nsdiye alileta haya matatizo. Angekua na akili angeunda mfumo na sio kuunda bunge la kumuongezea muda wa kutawala.Marehemu Magufuli akiwa hai alikuwa anasema anawapigania wanyonge, mkawa mnamcheka na kumdharau huku mkimkebehi kwa kila namna.
Alipoapishwa huyo Madam wenu mkaanza kushangilia na kumsifia kila siku. Sasa hivi amefikisha miezi 5 tu mmeanza kuisoma namba na bado ana miaka 4 na miezi 7 ya kukaa Ikulu.
Magufuli aliwaambia "mtamkumbuka".
Au nasema uongo ndugu zangu [emoji23][emoji23][emoji23]
Elfu 12 tu ndio unakufanya uliekiasi hiki,humu jf mnajifanyaga mna pesa leo mnalialia tuBiashara za kulipa kwa mtandao zinakufa, biashara hizo zilikuwa zikiingiza pesa kupitia kodi, usafirishaji na kutoa ajira kwenye marketing channel zake.
Ilikuwa rahisi kumtumia mtu hela hata kwa jambo dogo unapokuwa unajisikia kufanya hivyo. Yote hiyo ni mzunguko wa pesa.
Sasa wanatufanya tusipendane. Maana hakuna kupendana bila kusaidiana kwa mambo madogo madogo.
Kwenye makampuni ambako walikusanya kodi biashara inakuwa ngumu.
Ni mapema sana kusema, lakini mpango huu athari zake baada ya muda ni kubwa kwa uchumi, huku mahusiano ya jamii na serikali yakibaki kuwa tete. Sijui tuna wachumi wa aina gani hawa!!
Sisi kazi yetu kulipa, nao tutawadai huduma na maendeleo.
Mnapigana na marehemu ili mshinde niniHuyu nsdiye alileta haya matatizo. Angekua na akili angeunda mfumo na sio kuunda bunge la kumuongezea muda wa kutawala.
Au wamekata ya July na August?Ameandika Evans Rubara
I have just paid for Luku from @tanescoyetu this evening. Now @TRATanzania tell me what debt you have with me. This is fricking idiotic. Ndg. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania @SuluhuSamia tuambie kama umeshindwa kuongoza hii nchi kwa busara alizokupa Mwenyezi Mungu.
View attachment 1900475
Dah!soo sad 😒,elfu 10 nzima inaenda kwenye makato!Mimi nimenunua umeme wa 50,000 sasa hivi, ujumbe wangu huu hapa
Cost 39,344.27
VAT 18% 7,081.96
EWURA 1% 393.44
REA 3% 1,180.33
Debt Collected 2,000.00
TOTAL 50,000.00 20/08/21 22:19
Yaani nimepata umeme wa 39,344 tu, elfu 10,656 ni jumla ya makato,,,, makato ya kununua umeme ni makubwa zaidi kama tozo ya kutuma hela....... hapo ukumbuke, nimenunua kwa simu, tigopesa wamenikata 1,000 ya zaidi....... hii nchi inajitafutia laana, hela ya dhuluma haijengagi hata siku moja
Hivi haya mambo kwanini yamekua shida zaid baada ya kuingia mtaalamu wa uchumi Mwigulu???