Nashindwa kuamini hiki ninachokisoma kuhusu haya makato ya LUKU

Nashindwa kuamini hiki ninachokisoma kuhusu haya makato ya LUKU

Kabisa mkuu alisema wacha afe wakafanya sherehe, mama anaupiga mwingi Kama Messi. Mpaka Sasa Ana assist 200 na ni dk ya 10

USSR
Wengine walikuwa wanasema Mama anaifungua nchi. Na ameifungua kweli kweli.

Sasa sijui sasa hivi wanalilia nini?
 
Mkuu hivi ni kweli pesa inakwenda zanji sio chato tena

USSR
Mkuu USSR , hapa jF kuna sisi wanaCCM tusiokuwa bendera fata upepo alafu kuna wewe whistle blower wa CCM ambaye huna lolote unaloweza kupinga zaidi ya kushangilia.

Katika hili serikali imekosea Sana mkuu.
 
Tatizo la waafrika ni ubinafsi na hatutaendelea hadi dunia inaisha hakuna kiongozi aliopo kwaajili ya raia wake hivi kama nchi haina hela kwanini tunaendelea na zigo la wabunge wasio na tija wanaolipwa mamilioni ya hela kwanini wasipunguzwe kila mkoa ubaki na mbunge mmoja tuuuuuuu???
Vipi pesa za ruzuku za CHADEMA huwa mnazitumiaje au zile za michango ya majukwaani,wako wapi watetezi wenu wa katiba

USSR
 
Eti magufuli dikiteta Mungu amewawafuta machozi

USSR
Tunachekelea pembeni tu.

1.TOZO haiwagusi matajiri maana hawatumi hela kwa mpesa , airtelmoney tigopesa etc

2. Wanunuzi wa umeme wa wiki au mwezi ni maskini.

Wenye mamilioni au bilioni zao hayawahusu.
Tulisema eti dikteta hapendi matajiri lkn most ya utajiri wao ni wa makandokando
 
Nani kakwambia tozo zimewekwa kwa sababu za kisiasa? Ni mvivu wa kufikiri pekee ambaye anawaza siasa kwa kila jambo.
Sikutarajia kama uwezo wako kifikra upo hivyo.
Sasa mnalialia nini na tozo ,lipeni CHADEMA ipate ruzuku

USSR
 
Vipi pesa za ruzuku za CHADEMA huwa mnazitumiaje au zile za michango ya majukwaani,wako wapi watetezi wenu wa katiba

USSR
Mzee wewe hauko Tanzania? Unafurahia nini? Mana hii hali sio nzuri matatizo yakizidi sana katika jamii anything can happen kama hawafahamu.
 
Umejuaje hizo busara alipewa? Maisha yamepanda ghafla kiongozi nikuzurura nchi zawatu hajui mambo ndani yanavyoharibika!! Mafuta yakula/petroli juu,nyama juu,mitandao tozo, luku juu kilakitu kinapanda naye haoneshi umakini wwte!! Hopeless kwakweli tuna wazubaaji wawili pale juu watatuchelewesha mmmno
Ataacha kizurura ndege zikichakaa mkuu
 
Sasa mnalialia nini na tozo ,lipeni CHADEMA ipate ruzuku

USSR
Ushabiki wa vyama usikutie upofu. Tumia akili. Kujipendekeza huku na unafiki ndiyo maana hata huwezi kushauri mambo ya msingi.

Hayati Magufuli hakupenda wanafiki kama wewe.

Kwenye jamii tunao wengi sana wanaojiona wako vizuri lakini hawaishi kulialia na kuomba kusaidiwa. Na tunawasaidia bila kujali ujinga wao.
 
Back
Top Bottom