Nashindwa kuamini hiki ninachokisoma kuhusu haya makato ya LUKU

Ameandika Evans Rubara

I have just paid for Luku from @tanescoyetu this evening. Now @TRATanzania tell me what debt you have with me. This is fricking idiotic. Ndg. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania @SuluhuSamia tuambie kama umeshindwa kuongoza hii nchi kwa busara alizokupa Mwenyezi Mungu.

View attachment 1900475
Atakayeleta fyokofyoko kukiona - Magufuli
 
Mtu anakaa kwa shemeji atajuwa nini zaidi ya kujamba jamba...
Hii ngoma inapiga kotekote. Unless He/she is not responsible for the bills, he has no guts to side with the government's stupidity.

Kuwa mwanaCCM haimaanishi kukubali kila kitu kinacholetwa na hii serikali ya CCM, na yoyote yule anahangaika kujitafutia hela zake either smoothly au kwaku-hustle hawezi kukubali kuibiwa hela kizembe hivi.Na kuna chochote cha maana kinachofanyika zaidi ya Safari za kijinga tu.
 
Nitazidi kumukumbuka mwamba Magu na alishasema mtanikumbuka,hao wenye chama Mzee wa msoga ina maana haya hamuyaoni?mbona enzi zenu htukuwa na hizi tozo za ajabu na maisha yalisonga mbele?kwani nyiee mlipataje pesa ya kuendesha nchi? najua watasingizia COVID19 je haya madahara ya Covid ni kwa serikali tu na si wananchi, huku sasa sio kuupiga mwingi sana bali ni kuupiga mkubwa kupitiliza.
 
Ushabiki wa vyama usikutie upofu. Tumia akili. Kujipendekeza huku na unafiki ndiyo maana hata huwezi kushauri mambo ya msingi.

Hayati Magufuli hakupenda wanafiki kama wewe.

Kwenye jamii tunao wengi sana wanaojiona wako vizuri lakini hawaishi kulialia na kuomba kusaidiwa. Na tunawasaidia bila kujali ujinga wao.
CHADEMA ni chama kinachoongozwa kwa kelele za mitandao na matukio hakuna la maana mwigulu anaupiga mwingi Sana

Mwigulu mmoja michadema 10000

USSR
 
Nitazidi kumukumbuka mwamba Magu na alishasema mtanikumbuka,hao wenye chama Mzee wa msoga ina maana haya hamuyaoni?mbona enzi zenu htukuwa na hizi tozo za ajabu na maisha yalisonga mbele?kwani nyiee mlipataje pesa ya kuendesha nchi? najua watasingizia COVID19 je haya madahara ya Covid ni kwa serikali tu na si wananchi, huku sasa sio kuupiga mwingi sana bali ni kuupiga mkubwa kupitiliza.
Magufuli alikuwa bingwa mama anajifunza na naona anapambania miradi ,anawafuta machozi baada ya JPM (in mbowe gaidi voice)

USSR
 
Kuna wakati utafika watu wataanza kuulizwa kwanini hununui Luku ili kulipia deni lako.

Dawa yao kuweka mita halafu hununui umeme unafunga solar.

Kuhusu miamala ya simu naona mwezi wa kwanza tu salamu wanazo.

Nina imani baada ya muda fulani makampuni ya simu yatafunga biashara zao na kwenda kwingine.

Sijawahi kuona serikali yenye tamaa na wavivu kifikiri kama hii.

Unalazimisha kuvuna usipopanda. Tozo na Kodi tu ndicho wanajua. Hadi kodi zinatozwa zaidi ya mara moja kwa huduma/ bidhaa moja.

Kinachosikitisha kama wanataka pesa kwa ajili ya maendeleo kwanini wanatumia fedha za serikali kuu kununulia maVIETE ya milioni 400 kwa ma DC/DED/RC/DAS/RAS etc? DED unamlipa zaidi ya milioni 6 halafu unampa gari ya milioni 400 ,nyumba while mwalimu unampa laki 4 halafu nyumba hana na makato kibao!! Hizo bili 48 walizopata ukija kufuatilia hizo shule wanazosema watajenga utakuja kukuta ni uongo mtupu.
 
Naanza kufikiria kuweka umeme jua ili niachane na Tanesco,kumbe kupunguza gharama za kuweka umeme na kuwa TZS 27,000 ilikuwa ni mtego, tulifurahia umeme wa REA kumbe kuna shughuli nyuma ya pazia
Yote hayo kwa kuogopa elfu 12 tu ,kumbe hamna uzalendo wa taifa lenu

USSR
 
Kinachosikitisha kama wanataka pesa kwa ajili ya maendeleo kwanini wanatumia fedha za serikali kuu kununulia maVIETE ya milioni 400 kwa ma DC/DED/RC/DAS/RAS etc? DED unamlipa zaidi ya milioni 6 halafu unampa gari ya milioni 400 ,nyumba while mwalimu unampa laki 4 halafu nyumba hana na makato kibao!! Hizo bili 48 walizopata ukija kufuatilia hizo shule wanazosema watajenga utakuja kukuta ni uongo mtupu.
Hata 5B hawana,hii nchi imejaa usanii wa kijinga
 
Mbowe alikataa lile la KUB akalichukua usiku usiku

USSR
 
2000 mzee baba

Ova

Basi walitulisha tango pori ,walisema kodi ya nyumba za kawaida imepanda kutoka elfu kumi kwa mwaka hadi elfu 12 kwa mwaka na italipwa kila mwezi elfu 1 ,ila kama ghorofa kila floor ni elfu 5 means 60000 kwa mwaka kutoka elfu 50.
 
Kinachosikitisha kama wanataka pesa kwa ajili ya maendeleo kwanini wanatumia fedha za serikali kuu kununulia maVIETE ya milioni 400 kwa ma DC/DED/RC/DAS/RAS etc? DED unamlipa zaidi ya milioni 6 halafu unampa gari ya milioni 400 ,nyumba while mwalimu unampa laki 4 halafu nyumba hana na makato kibao!! Hizo bili 48 walizopata ukija kufuatilia hizo shule wanazosema watajenga utakuja kukuta ni uongo mtupu.
Wahuni sana hawa watu. Bahati nzuri uongo kwao unalipa kuliko ukweli.
 
Back
Top Bottom