Nashindwa kuamini hiki ninachokisoma kuhusu haya makato ya LUKU

Nashindwa kuamini hiki ninachokisoma kuhusu haya makato ya LUKU

Tutulie yule wa awamu ya 5 alikuwa hazunguki kwa ushamba na kutojua lugha, hivyo nchi ikawa haina mahusiano na nchi zingine.
Wa mjini acha afungue nchi tutamlipia na convoy yake
Hahaha alikuwa hajui kimalikia leo mmegeuka tena , chadema wanademka Sana ,wacha wafutwe machozi

USSR
 
Marehemu Magufuli akiwa hai alikuwa anasema anawapigania wanyonge, mkawa mnamcheka na kumdharau huku mkimkebehi kwa kila namna.

Alipoapishwa huyo Madam wenu mkaanza kushangilia na kumsifia kila siku. Sasa hivi amefikisha miezi 5 tu mmeanza kuisoma namba na bado ana miaka 4 na miezi 7 ya kukaa Ikulu.

Magufuli aliwaambia "mtamkumbuka".

Au nasema uongo ndugu zangu 😂😂😂
Hakika tunamkumbuka Magufuli
 
Hahaha alikuwa hajui kimalikia leo mmegeuka tena , chadema wanademka Sana ,wacha wafutwe machozi

USSR
Hahaaaa. Acha tunyooshwe na bado. Oooh tunatawaliwa na mshamba. Fogofu
 
Marehemu Magufuli akiwa hai alikuwa anasema anawapigania wanyonge, mkawa mnamcheka na kumdharau huku mkimkebehi kwa kila namna.

Alipoapishwa huyo Madam wenu mkaanza kushangilia na kumsifia kila siku. Sasa hivi amefikisha miezi 5 tu mmeanza kuisoma namba na bado ana miaka 4 na miezi 7 ya kukaa Ikulu.

Magufuli aliwaambia "mtamkumbuka".

Au nasema uongo ndugu zangu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa mkuu alisema wacha afe wakafanya sherehe, mama anaupiga mwingi Kama Messi. Mpaka Sasa Ana assist 200 na ni dk ya 10

USSR
 
Unajiona wa sayari nyingine, itakuwa heri kama unaishi maisha yako na siyo haya ya JF.
Wanasiasa wenu mnaowaita mwamba wako wapi au wanadai katiba ,unadai katiba huku huna pesa ya Luku

USSR
 
Kumekucha 🤣🤣🤣🤣
Daaaah umekucha mkuu😂😂.

Ukifatila comment zangu humu, mimi ni mfuasi mkubwa sana wa namna ambavyo JPM alifanya kazi zake, licha ya kuwa na mapungufu yake mengi. Ila tangu alipongia huyu bibi sijawahi kabisa kuvutiwa na utendaji kazi wake.

Na kwakua mimi huwa sio bendera fata upepo kama baadhi ya wanaCCM waliojitolea kushangilia kila kitu, nimechukizwa sana na hiki kitu.

Watakao support huu upuuzi ni watu wanaonufaika nao, ama wale tunaowafuga majumbani kwetu maana hawawezi elewa ugumu wa maisha.
 
Ameandika Evans Rubara

I have just paid for Luku from @tanescoyetu this evening. Now @TRATanzania tell me what debt you have with me. This is fricking idiotic. Ndg. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania @SuluhuSamia tuambie kama umeshindwa kuongoza hii nchi kwa busara alizokupa Mwenyezi Mungu.

View attachment 1900475
Kuna Mtu kanitonya Tozo nyingine yaja!!
 
Kajengeni ukuta Kama kipindi Cha JPM ,

USSR
Tatizo la waafrika ni ubinafsi na hatutaendelea hadi dunia inaisha hakuna kiongozi aliopo kwaajili ya raia wake hivi kama nchi haina hela kwanini tunaendelea na zigo la wabunge wasio na tija wanaolipwa mamilioni ya hela kwanini wasipunguzwe kila mkoa ubaki na mbunge mmoja tuuuuuuu???
 
Back
Top Bottom