Zidani
JF-Expert Member
- Apr 5, 2021
- 970
- 3,941
Na wengine walidiriki kusema Tanzania haina wanyonge hahahaha dah.Wengine walikuwa wanasema Mama anaifungua nchi. Na ameifungua kweli kweli.
Sasa sijui sasa hivi wanalilia nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wengine walidiriki kusema Tanzania haina wanyonge hahahaha dah.Wengine walikuwa wanasema Mama anaifungua nchi. Na ameifungua kweli kweli.
Sasa sijui sasa hivi wanalilia nini?
I'll always remember youuuuuu
Huu sasa ni wizi wa wazi kabisa, mama anatufanyia michezo michafu sanaMuda huu baada ya kuona huu uzi , nimetest kununua units za miatano (chini ya kiwango chao wanachotaka 1000tsh), ngoma inagoma kabisa wanadai eti "tender more money😝"
Nimemwambia mke wangu ajaribu na yeye wanamuandikia hivyo.
Nilichogundua ni kwamba hii tozo ya luku atakatwa mtu yoyote bila kujali anamiliki nyumba au laa
Huu ni upuuzi mkubwa sana,yani hawaridhiki na hela za miamala na mafuta sasa wamehamia kwenye LUKU, na kibaya zaidi hela zetu zinatumiwa na mpumbavu mmoja kufanya ziara za kijinga tu, kutwa anazunguka na misafara kwenye nchi za watu kijinga kijinga tu.
Muda si mrefu watatuletea na Tozo za pumbu Sasa🤒.
Tena Mimi tarehe 01 sept naanza kuwatokza laki 2 kwa room hawataki wahame nipangishe Kuku, Bata na Kanga!!!so wapangaji wanamsaidia mwenye nyumba kulipia nyumba yake loh, huu ubunifu hatar
Kwa wanawake wajiandae na kodi ya hedhiMuda huu baada ya kuona huu uzi , nimetest kununua units za miatano (chini ya kiwango chao wanachotaka 1000tsh), ngoma inagoma kabisa wanadai eti "tender more money[emoji13]"
Nimemwambia mke wangu ajaribu na yeye wanamuandikia hivyo.
Nilichogundua ni kwamba hii tozo ya luku atakatwa mtu yoyote bila kujali anamiliki nyumba au laa
Huu ni upuuzi mkubwa sana,yani hawaridhiki na hela za miamala na mafuta sasa wamehamia kwenye LUKU, na kibaya zaidi hela zetu zinatumiwa na mpumbavu mmoja kufanya ziara za kijinga tu, kutwa anazunguka na misafara kwenye nchi za watu kijinga kijinga tu.
Muda si mrefu watatuletea na Tozo za pumbu Sasa[emoji855].
Sahihii kabisaa, ccm wao ni freeeHii wanakatwa wapinzani tu. CCM hawakatwi.
Au nasema uongo ndugu zangu?
SHETANI HANA RAFIKI. WALE WALIOKUWA WANAIMBA WATAISOMA NAMBA NA WAO WANAZISOMA HADI ZA KIRUMI.
Betri hizi za national au za gari mkuuZifuatazo ni hatua za kuzalisha nishati ya umeme kwa njia ya kinyesi cha binadamu,
1) funga betri kubwa sita
2) weka waya upande hasi na upande chanya
3)ingiza hizo betri kwenye tank la kinyesi pale unapoishi, kisha unganisha katika switch waya wako ujipatie umeme wa bure
Hima watanzania wenzangu tuhamie huko serikali haiwezi kuweka tozo ya kinyesi,
Kacnia to the rescue
Mama anajua hata akijaribu kua Kama Mtangulizi wake bado mtamtukana tu, maana anajua Watanzania hawana shukhurani na wengi hawajui wanachokitaka, JK wa Msoga alitukanwa hadi kuitwa Dhaifu,akawaletea Chuma kigumu nacho pia mkasema ni Dikteta!! Sasa Mama kamua mradi liende Maisha yasongee!!Umejuaje hizo busara alipewa? Maisha yamepanda ghafla kiongozi nikuzurura nchi zawatu hajui mambo ndani yanavyoharibika!! Mafuta yakula/petroli juu,nyama juu,mitandao tozo, luku juu kilakitu kinapanda naye haoneshi umakini wwte!! Hopeless kwakweli tuna wazubaaji wawili pale juu watatuchelewesha mmmno
Huyu Waziri wa Fedha ni janga la Taifa letu! Tangu apewe uwaziri ni shida kwene:Huu SASA ndo wizi mkuu, badala ya buk ya Kodi ya nyumba Kwa kila Luku, SASA wameiweka buk 2?
Za redio(bila shaka ushaelewa)B
Betri hizi za national au za gari mkuu
Njoo tu rafiki, huku hakuna tozo za miamala wala tozo za majengo kwenye lukuMkuu Abrianna tupe michongo tukuje huko nasisi.
Mama anawakomesha mataga!Mama anaupiga mwingiii
Hivi bado matanga wanapiga kelele?
Mwezi ujao nakuja mkuuNjoo tu rafiki, huku hakuna tozo za miamala wala tozo za majengo kwenye luku
Ahsante nimeeelwa mkuuZa redio(bila shaka ushaelewa)
Nitakupokea pale stand bossMwezi ujao nakuja mkuu