Nashindwa kuamini hiki ninachokisoma kuhusu haya makato ya LUKU

Nashindwa kuamini hiki ninachokisoma kuhusu haya makato ya LUKU

Wanachotaka ni kututaka tuache uoga tuingie barabaran
 
Wameshanogewa na tozo, kifupi ni kupiga chini hii serikali ya chama kikuu kuu....
 
Kuna watu tunanunua umeme kila siku,ina maana baada ya mwez tutakuwa tumelipa kodi ya pango isiyopungua 58k
 
Wanaolalamikia BUKU kuichangia NCHI yao ni WAPUMBAVU, afu hao hao wanadai waongezewe mishahara, vifaa tiba, barabara nzuri nk. Wako tayari kumchangia LEMA kwenye namba yake binafsi eti anazunzuka dunia kudai demokrasia. NYIE MNAOLALAMIKA NI WAPUMBAVU NA WAJINGA. MKIWEZA HAMENI WANAUME TUIJENGE NCHI YETU HATA MAKATO YANGEKUWA BUKU 5.
poa mkewangu
 
Ameandika Evans Rubara

I have just paid for Luku from @tanescoyetu this evening. Now @TRATanzania tell me what debt you have with me. This is fricking idiotic. Ndg. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania @SuluhuSamia tuambie kama umeshindwa kuongoza hii nchi kwa busara alizokupa Mwenyezi Mungu.

View attachment 1900475
Acha uvivu wa akili, CHANGIA MAENDELEO YA NCHI YAKO.

Buku 5 zinakutoa roho, japo unaelewa kuwa zinakwenda kuendeleza nchi na wanachi wake.
 
Acha uvivu wa akili, CHANGIA MAENDELEO YA NCHI YAKO.

Buku 5 zinakutoa roho, japo unaelewa kuwa zinakwenda kuendeleza nchi na wanachi wake.
usisahau pia kuwa huwa zinanunua magari ya gharama kwa viongozi wetu.
 
Acha uvivu wa akili, CHANGIA MAENDELEO YA NCHI YAKO.

Buku 5 zinakutoa roho, japo unaelewa kuwa zinakwenda kuendeleza nchi na wanachi wake.
Unaishi kwa shemeji kula dezo kulala dezo eehh hujuwi ugumu wa maisha...
 
Kunauwezekana mkubwa mshauri wa hii kitu anataka kuitoa madarakan ccm ila anatumia mbinu hii ya bills, kimsingi nafkr bado Ni dogo, ashauri ifikie had 1000% ifike mpka, nauli, ziongezeke, maji, umeme happy ndpo akili itatukaa vzr,

Naona mama yy Wala Hana habar maana Kwanza katiba ndo imemfanya awepo kwa hyo tutajijua wenyewe,

Kwa mtazamo wangu nafkr bado Sana waongeze zaidi na zaidi...
 
CCM itoke kwa kubuni mbinu nzuri za kukamilisha miradi,wewe unamwa

USSR
 
CCM itoke kwa kubuni mbinu nzuri za kukamilisha miradi,wewe unamwa

USSR
Mkuu hujakosea kwel mm nimgonjwa hasa, ccm haiwezi kutoka kwa akili ndogo ya vyama mkuu itatolewa na wao wenyewe, kunawatu kwao hii Ni fursa, tozo songa mbele, cjui kwa nn za cm waliahilisha ila nahic zinakuja tu, mpka ck akili akitusogelea
 
Siku hizi masuala ya madini huko hatusikii chochote wahun wanapiga pesa tu magufuli aliwakamata sana kule matajiri lakn mama kaamua kuwanyonya masikini ili matajiri waishi vizuri RIP kamanda magufuri hakika hakuna kama ww tunakulilia maskini
 
Huyo jamaa ni boya tu, yule Mzee aliefariki alikuwa na madhaifu yake ila sidhani kama angewahi kuruhusu huu upumbavu kwenye serikali yake.

Ninachoamini huu ni kwanzo tu,kuna mabaya mengi yanakuja mbele ya Safari.
Mbona nimeanza tena kuona nafuu ya mwendazake. Kweli utajua mazuri ya mtu akishasepa
 
Chadema walisema Mungu amewajibu haya ndio majibu

USSR
Watu wanajadili mambo yanayowagusa wananchi bila kujali itikadi zao, unabaki kuongelea mavyama yenu hayo. Yaani unaona ni vizuri sana, utoto mtupu.
 
Back
Top Bottom