TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Nchi gani hiyo ya Ulaya inauza umeme unit moja ( 1 kWh) kwa Euro zaidi ya 30!? Yaani unit moja ya huko Ulaya bei yake ni sawa na 30 x2400 = TZS 72, 000.00!!! Yaani unit moja bei yake sawa shiling za kitanzania elfu 72!!!!!!!Unit moja inauzwa Euro zaidi ya 30. Utalinganiasha na Tz?
Usibishe kitu ambacho hujui, uliza.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
====