Nashindwa kuelewa tukio hili ambalo nimekutana nao

Huo ugonjwa chanzo chake huwa nini
 
Ulichokiona inawezekana ndo uhalisia na hayo mambo ya kuchukuana misukule yapo,hata mkoani katavi wilaya ya mpanda katika Kijiji flani Kuna mtumishi mmoja wa afya alikua kipenzi Cha wanajamii basi akawa amefariki kifo Cha kutatanisha tu.So baada ya kama mwezi baada ya mazishi yake watu wakawa wanamuona au wanapishana nae mtoni wakienda chota maji.Ko kwa upande wangu hata sikupingi.
Pia Kuna ndugu yangu mmoja(mtoto wa shangazi) wakati huo aged kama 28 alipotea ghafla nyumbani kwao mida ya saa 4 usiku alikujapatikana mishale kama saa 7 usiku kachakaa chakaa kipoli poli.
Kupatikana kwake ni baada ya wanandugu kuungana kwenda kuliamsha kwa jirani wao ambae alikua akihisiwa ni mchawi.Baada ya kuliamsha huyo jirani Yao aliwajibu ngoja tuombe mungu atapatikana na kweli baada ya masaa kadhaa akarudi mwenyewe hajielewi wapi alikua.
Chanzo Cha kupotea kwake kwa mujibu wa maelezo ya wanandugu walisimulia kua "muda mfupi alikua hapa nje akisema kuna watu watatu anawaona wanamchungulia huku wakimkonyeza".
 
Hua wanawaficha wapi wasiweze kuonekana kabisa na binadamu wengine?Hiyo misukule anaiukuaje kwa kufukua kile kifusi au Kuna njia mbadala wanatumia?
 
Hua wanawaficha wapi wasiweze kuonekana kabisa na binadamu wengine?Hiyo misukule anaiukuaje kwa kufukua kile kifusi au Kuna njia mbadala wanatumia?
 
Hua wanawaficha wapi wasiweze kuonekana kabisa na binadamu wengine?Hiyo misukule anaiukuaje kwa kufukua kile kifusi au Kuna njia mbadala wanatumia?
 
Nkuulze umesema akizinduka uko kaburini ataishiwa pumzi na atakufa, kwani muda huo kazikwa niseme watu wamekaa msibani siku tatu kwamba muda wote wa siku tatu anaweza kusurvive bila pumzi uko chini?, pls make it make sense nielewe.
 
Ooh dah haya mambo kumbe yapo🙌🏾

CC: Poor Brain

Ulizia ukaishi huko Mkuu
 
Kwamba huyo binti kipindi hiko ujaanza chuo ndio huyo huyo aliyetajwa na huyo jamaa? Je jamaa amekutajia kama mtu aliye hai au amefariki ?

Na uliweza kuthibitisha kuwa ni yeye mkuu
Sio binti, mwaka huu ni aged 35-40
Kiufupi
Aliongea na huyo staff mwenzie tuliyekuwanaye kumuuomba asolve issue ya mdau aliyekuwa na shida
Nilionyesha kumfahamu baada ya kusikia akitajwa. Nikataka kujua zaidi kama ndiye ninayemfahamu? Akanipa picha kunionyesha huyo dada ndiyo huyu-unamjua? Nikamwambia nilisoma naye chuo
 
Huo ugonjwa chanzo chake huwa nini
. Genetics
Family history and genetic factors passed down from generations can increase the risk of developing schizophrenia. If a close relative, such as a parent or sibling, lives with schizophrenia, the likelihood of developing it is higher.

2. Environment
Environmental influences, such as stressful life events or exposure to certain factors during pregnancy, may play a role in the development of schizophrenia. This can include prenatal exposure to infections, malnutrition, or toxins.

3. Brain damage
While a traumatic brain injury does not directly lead to someone experiencing schizophrenia, it can increase a person’s risk. However, brain damage that has stopped your brain from growing at a normal rate either during birth or when your mother was pregnant, can be a cause of developing schizophrenia.

4. Drugs and alcohol
Research shows that the use of psychoactive or recreational drugs, like cannabis, LSD and amphetamines, especially during adolescence and young adulthood, can increase the risk of developing schizophrenia.

5. Psychosocial factors
Childhood trauma, abuse, or neglect, can increase the risk of developing schizophrenia. Social isolation, poor family relationships, and high levels of stress can also be factors.
 
Inabidi uende kwa mtaalamu wa ushauri nasaha, akakupe ushauri.

Au ujaribu kubadilisha mazingira uliyopo kwa sasa, uende hata mkoa mwingine ukapumzishe akili.
 
Almanusura nipate huu ugonjwa,niliona jeneza barabarani limedondoka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…