Nashindwa kufuta namba yake japo tumeachana

Mk Mkuu huu ji mwezi wa tano sasa siko.naye , nimejaribu yote hayo lakini imeshindikana,
 
Kama mnapendana rudianeni haya mengine ni swaga tu! Dada hebu kamueleze mwenzio hisia zako ama kama huwezi fanya tuvitu tutakavyomjulisha unataka Tena attention nae atajiongeza mtarudiana!.. usivunge hutaki wakati hisia zataka utakapobananishwa kwenye angle ya Mapenzi utaelewa tu.

We dada umempenda jamaa jitose kurudi kwake alasivyo utateseka na hisia zako mpk ujute kuishi..πŸ˜‚
 
Credit analyst [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu it's a long story, nilishawah iweka hapa kwa id tofauti na hi, na watu wote walinishauri nimuache ndiyo maana nimeona nikija kwa I'd ileile nitakula vichambo Hadi basi
Inaonekana bado unampenda?
 
Mkuu it's a long story, nilishawah iweka hapa kwa id tofauti na hi, na watu wote walinishauri nimuache ndiyo maana nimeona nikija kwa I'd ileile nitakula vichambo Hadi basi
Kila siku tunawambia hum jitahidini mjipe mda kabla yakuachana sasa ngoja umpate mtu halafu awe namapungufu kuliko huyo hapo ndo utaimba hum unatakiwa uombe ushauri namna yakuyajenga namwenzio ila kwenye hatua ya kuachana nivizuri ukaamua mwenyewe
 
Reactions: Mbu
Mm nimeshaamua kuachana, chakufanya nipe tu mbinu ya kumsahau, kutofuta namba Ni kigezo Cha kupendana?
Malovee km seriously umeamua kumuacha unashindwa vip kufuta namba na kumove on? Futa hiyo namba completely then fanya mambo yako atatoka taratibu huwez kumsahau mtu ndan ya wiki au mwez it takes time.
 
Ivi mapenz bado yapo sikuhiz maana ni kama nimesahau tunapendaje.Move on mom
 
Ivi mapenz bado yapo sikuhiz maana ni kama nimesahau tunapendaje.Move on mom
Kwako kukiwa ucku[emoji14][emoji14] mwenzio ndo kwanza
Kwake jua lmechomoza[emoji1][emoji1][emoji1]alfajir
 
Katika maisha ya mapenzi kuna mahusiano hutokea mara moja au mbili ya kupenda mazima na bila sababu na ikitokea mkaachana itamchukua mmoja au wote miaka SI CHINI YA MITATU kuweza kusahauliana na ku move on
Hivyo sikushauri kabisa ufanye juhudi zozote za kufuta kumbukumbu zozote muda pekee ndio utafanya hivyo.. UKO NA MIEZI 5 TANGU MUACHANE BADO 31
 
Mkuuu mbona unanipa wakati mgumuu
 
Malovee km seriously umeamua kumuacha unashindwa vip kufuta namba na kumove on? Futa hiyo namba completely then fanya mambo yako atatoka taratibu huwez kumsahau mtu ndan ya wiki au mwez it takes time.
Ninafanya Mambo yangu na huu Ni mwezi wa tano, najatikbunkuwa na furaha Kama kuhave fun na rafiki zangu, but nikiwa tu mwenyewe mawazo juu yake yanarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…