Nina shida ya kiakili natumia dawa zinatwa resperidone.
Changamoto niliyonayo ni kuwa hata nifanye Nini nkipata kipato haichukui wiki laki Tano imeisha. Hata niweke mikakati ghani nitajikuta tu baada ya wiki nipo kwenye stress Sina pesa.
Nmefikia hatua Sasa hii hali imenichosha naomba ushauri bila matusi Wala kebehi nifanye Nini kuondokana na hii hali.