Pole sana Mkuu, Mwenyezi Mungu awe pahala pako katika tiba unayoifanya.Nina shida ya kiakili natumia dawa zinatwa resperidone. Changamoto niliyonayo ni kuwa hata nifanye Nini nkipata kipato haichukui wiki laki Tano imeisha. Hata niweke mikakati ghani nitajikuta tu baada ya wiki nipo kwenye stress Sina pesa. Nmefikia hatua Sasa hii hali imenichosha naomba ushauri bila matusi Wala kebehi nifanye Nini kuondokana na hii hali.
Mkuu tafuta mke(msaidizi) atakusaidia Sana kupanga bajeti na kuzisimamiaNina shida ya kiakili natumia dawa zinatwa resperidone. Changamoto niliyonayo ni kuwa hata nifanye Nini nkipata kipato haichukui wiki laki Tano imeisha. Hata niweke mikakati ghani nitajikuta tu baada ya wiki nipo kwenye stress Sina pesa. Nmefikia hatua Sasa hii hali imenichosha naomba ushauri bila matusi Wala kebehi nifanye Nini kuondokana na hii hali.
Na mm nlkua najiuliza hv anafnya kaz gan kwanzaHiyo laki 5 hua unachukua mda gani kuipata tuanzie hapo?