Nashindwa kulielewa hili gari

Hii comment iwekwe kwenye gazeti la mwananchi watu wasome.

Hata Toyota zinawatoa jasho, tena IST.
 

Tazameni hii video halafu mshushe comments zenu,hii in service ya 2001 BMW 3 series. Kabla hazijawa complicated zaidi.
Individual opinion should not be taken as industry standards.

Hizo german brands zina zaidi ya miaka 50 kwenye game na zinaendelea kuwepo. Kwanini uchukue opinion ya mtu mmoja kama conclusion?

Current BMW engines are the best right now. Kuna makampuni yanasource engines toka BMW, Porsche na Mercedes.
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Na wenye hela zao hawanunui hizo takataka mnazonunua nyie wanyonge,wao wanatumia zilizoko kwny warranty ikiisha wananunua jingine yaani Ni mwendo wa kucheza na warranty tu.
 
Nimepata mda wa kupitia comments nyingi wengi mnapendekeza matumizi ya toyota kwa sababu ya reliability na affordability binafsi nimeendesha toyota mark x sedan na mark x zio sijui inaitwa hatcback , kwa mara ya kwanza nilipoendesha BMW niliona nimekidhi haja ya moyo wangu nakumbuka ilikuwa 3 series latest nilipenda sana interior comfortability na body lake niliapa lazima nipate hii kitu nikaangukia kwenye 5 series

Kuna muda nakaa naiangalia ndinga ilivyopaki alafu nasema hiiiiiiiiii ikitokea shida ya ghafla kama hii ya iliyonikuta natetereka kidogo lakini sasa nimesahau kabisa kama imenicost why? My love ni kubwa over these BIG BOYS CAR kama itasumbua tena nitavunjika moyo lakini i must find a way out

Nafurahi sana staff wenzangu wanapoisifia natamani pia nipate FUGA au LEXUS ambayo ni sedan naona ni gari za kiume, siwezi kumshauri mtu asinunue au anunue gari anayopemda kwa sababu ya matunzo i just advise people to make big money you will automatically kwenye Big cars
 
Sio atafute, bali akutafute umsaidie..

Mzee gari hizo mafundi ni wawili ninawajua, yupo huyu mwamba jitu, kuna mwamba mwingine anaitwa ivan yupo mwenge pale yeye ana deal na gari za Ulaya tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…