Yeyote anayemtetea mwendazake ni ibilisi.Hivi hata mtu asiye na taaluma ya upelelezi anaweza shindwa kujumlisha moja na moja kuwa 2? Alikuwa ana maanisha nini aliposema "vita ya kiuchumi ni mbaya sana na msaliti wanajua wanajeshi huwa anafanywa nini...".Siku si nyingi risasi zikaunguruma. Labda zezeta ndiyo haelewi.kwani kufanyika uchunguzi ni lazima mhusika aliyeshambuliwa awepo!? Si wangetoa report kwanini walinzi wotehawakuwepo nani aliwaondoa? Kama tundu lissu angekufa polisi wangemuuliza nani.
Yani polisi kufanya kaz mpaka mhusika awepo je kama mhusika alitengeneza tukio kuchafua serikali huoni kama bado kuna haja ya kuchunguza na kutoa report
Kwani wewe nani nikuwekee ushahidi hapa?Lete ushahid , usihisi kila mtu mtoto humu ndan
Kila sehemu anasifika. Mbona kwetu huku hatutaki hata kumsikia kutokana na ukatili wake uliovika mipaka. Jomba huyo alikuwa ibilisi huoni Sasa hata mjane ananenepa?
Ni kweli, lakini kutenda uovu hakumfaidii mtu kitu. Sana sana kunamuacha na visasi visivyo lazima
Wewe huwezi kumchagulia mshindani wako namna ya fight . Kusema ni ujinga unakosea . Cdm wapo kivyao na wananchi wanawaelewa, sema hawana bunduki .
Well said bro.Ttzo akil yko fupi , rais atazungumziaj jamb kiofisi wakati mhusika au watu wake wa karibu hawajatoa taarifa rasmi bungeni , na ndio maana na yy rais alitoa pole huko huko mitandaoni Lissu alikopeleka taarifa
In no way, one can be apologetic for the role of Magufuli in Lissu’s failed assassination bid. It’s an open book. We live in reality. We call a spade a spade, period.Kila binadamu yoyote mwenye roho wa Mungu ndani yake ataumizwa na tukio lile, na ikitokea kama kuna aliyefurahi basi huyo ana roho wa shetani!
Ni kweli, sababu pekee ya kutofanyika jambo lolote ni kwasababu tukio hilo limeshuhudiwa live na mashuhuda wawili muhimu, ambao mpaka sasa, wamegoma kata kata kutoa ushirikiano kwa vyombo vya uchunguzi. Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?
Kama huu ndio msingi wa wewe kutomsamehe Magufuli, nakushauri tafuta nauli, kama huna, kopa, nenda Chato, kwenye kaburi lake, upige magoti, umuombe msamaha!.
Baada ya shambulio lile, Rais JPM, hakukaa kimya!.
Kwa vile hakukaa kimya, nakushauri nenda kamuombe msamaha marehemu!.
Kumsingizia marehemu kuna karma mbaya!.
Lissu alishambuliwa na watu wasiojulikana ambao mpaka leo hawajajulikana.
Nakushauri usihukumu usije ukahukumiwa! Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!.
P
In criminal liabilities, we don't work on assumptions, we have to be certain, with evidence beyond reasonable doubt.In no way, one can be apologetic for the role of Magufuli in Lissu’s failed assassination bid. It’s an open book. We live in reality. We call a spade a spade, period.
The attitude and conduct of the State in the Lissu saga was entirely despicable! And the shameful campaign of the police/state to heap blame on the victim of such blatant cruelty for their failure to investigate and prosecute is incomprehensible!
Yule mtu sio wa kumuomba msamaha bali inatakiwa tumuombe Mungu ampe adhabu kali zaidi huko alipo, yule mtu hata kama hutaki hausishwe na tukio lile lakini kafanya mengi mabaya ya kuumiza watu ikiwemo kufungulia watu mashtaka ya uongo ya uhujumu uchumi ili tu kuwakomoa na kudhulumu pesa zao.Kila binadamu yoyote mwenye roho wa Mungu ndani yake ataumizwa na tukio lile, na ikitokea kama kuna aliyefurahi basi huyo ana roho wa shetani!
Ni kweli, sababu pekee ya kutofanyika jambo lolote ni kwasababu tukio hilo limeshuhudiwa live na mashuhuda wawili muhimu, ambao mpaka sasa, wamegoma kata kata kutoa ushirikiano kwa vyombo vya uchunguzi. Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?
Kama huu ndio msingi wa wewe kutomsamehe Magufuli, nakushauri tafuta nauli, kama huna, kopa, nenda Chato, kwenye kaburi lake, upige magoti, umuombe msamaha!.
Baada ya shambulio lile, Rais JPM, hakukaa kimya!.
Kwa vile hakukaa kimya, nakushauri nenda kamuombe msamaha marehemu!.
Kumsingizia marehemu kuna karma mbaya!.
Lissu alishambuliwa na watu wasiojulikana ambao mpaka leo hawajajulikana.
Nakushauri usihukumu usije ukahukumiwa! Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!.
P
Kuna kauli yake ya kuwatenda wasaliti kwenye voice clips za Youtube. Na Makonda alionekana kwenye CCTV makazi ya Tundu Lissu na mawaziri wengine. IsitosheLete ushahidi bas wa Magu kutuma watu wamuue Tundu Lisu
Yeah, fortunately, this is Jukwaa la Siasa where we exchange "real" stuff that happen to luckily drop by into our knowledge troves. There's no obligation to put our exchanges to legal or juridical tests. It's not a court of law. We simply cross-check facts for truth and authenticity. Inside-knowledge, logic and conventional wisdom are the main tools of analysis.In criminal liabilities, we don't work on assumptions, we have to be certain, with evidence beyond reasonable doubt.
Don't assume, be sure!.
P
Ndio lakini hakuhijiwa mtu wala kukemea tuMsamehe,usiposamehe wewe pia hutasamehewa,lakini pia hakuna ushahidi kuwa magu ndio alimpiga risasi lisu
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Unajua kilichompata Samia baada ya kumuona Lissu Kenya? Unajua Nini kilimpata balozi wa Tz ubeligiji baada ya kwenda kumuona Lissu?Samia alienda kumuona lissu alimpa pia salamu za rais..
Mkuu mbona huhoji hata uongozi uliopo sasa bado umekaa kimya kuhusu tukio hilo..?
Mkuu Kama utakuwa umenielewa vyema swali lako nishalijibu Soma komenti yangu ya Kwanza.
Pole Sana mkuu kwa uelewa mdogo,Hv ulitaka rais aende kufungua kesi ya Lissu kupigwa risasi wakti , mhusika na watu wake wa karibu hawakutaka kuonesha ushirikino kwa serikali , pia ni watu wabgapi wamepotea nchini hapa je wote kawapoteza Magufuri ? yaan kila anaepotea au kufa Chadema basi ni Magufuri ? ina maana kabla ya Magu , wanachama wa Chadema hawakuwai kukutwa na dhahama yyte ? Kuhusu maiti unajisahalisha swala la kibiti , unahisi serikali iliwaondoa wale jamaa kwa kuwaimbia ngonjera ? kuna muda waafrika tupunguze kuishi kwa uvumi bali tujitahidi kuongea mambo tuliyo na ushahidi nayo na si mtu kajisikia kumshutumu fulani basi ndo tunalibeba kama lilivyo na kuanza kulitumia mtaji kwenye siasa zetu , by the way mm sio ccm ila kuna vitu ukiniambia naona kama unanidharau Lissu kapigwa risasi tunamnyooshea Magufuri kidole ( kwa ushaidi upi ? Analalamika kutofanywa uchunguz , tutafanyaj uchunguz wkt hata muhanga wa tukio hataki ushirikiano na chombo husika ) WAAFRIKA TUNATUMIKA KIMCHONGO KUSHIBISHA MATUMBO YA WATU WACHACHE ndio maana walevi wa uchadema , uccm au u act huwa nawaona wapumbav tu stori zao nyingi ni za kusadikika na mihemko bila kujali usalama wa raia wema wasiojihusisha na siasa chafu na ukiwaomba ushaidi wengi wao wanaishia kukujibu vibaya maana hawana ushaidi wa wakiongeacho , Yangu ni hayo Muraa , tushikamane tulijenge Taifa. UCCM na UCHADEMA HAUTOTULISHIA WATOTO ZETU
Unatetea ujinga, na bilashaka Ni kundi lilelile la wanyonya damu,Upeo wko mfupi mno na upinzani imekuua akili , Lissu mwenyewe ndo alikata na kujiweka mbali na serikali , na utaratibu uko hv , mbunge atapewa haki za kibunge iwapo katoa taarifa bungeni pili kahudumiwa ndani ya nchi kisha hospitali husika ikajilizisha anaitajika aende nje ndo kibali kinatolewa serikalini ili akatibiwe nje ila Lissu alifanya mambo km nchi ni ya babu yake , ni kosa kubwa mno kwa mtu anaeijua sheria na taratibu za nchi kisha anataka kutumia ttzo lke km mtaji wa kujipeleka ikulu , watu mliamishia akili zote kwa Magufur kana kwamba Lissu hana madui wa kimaisha mtaani
Ushirikiano upi inahitajika? Unamtaka dereva wa Nini? Vitu vingine ujinga mtupu!!Nakubaliana na wewe kiroho safi wahusika watoe ushirikiano kwanza ndio waanze kuilaumu serikali
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] aisee kadiri unavyoandika ndivyo unaonyesha ujinga na rangi yako halisi,Hv ungekuwa rais ungeweza kujigawa ufanye ubaya na kuamulu kila ubaya kila mkoa ? Kuna tunaonesha unyani wa hali ya juu , yaan makosa ya mgambo unaenda kusema alitumwa na RPC , akili fupi sana , ktk maelezo yako yote sijaona neno rais ila mwisho kweny lawama unamshishia rais kana kwamba aliwatuma
Ukikalia kile kiti ni tofauti sana na hicho cha counter au sebleni kwako,note me wiselyI declare interest Mimi sio mwanachadema kabisa kabisa lakini nikiwa kama mtanzania mwenye akili timamu nikifikiria tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi pale Dodoma ile 2017 naumia mno.
Kushambuliwa kwa binadamu kama mnyama mchana kweupe kwenye majengo ya serikali inaumiza saana, lakini kinachouma zaidi ni kwamba hakuna hata mtu mmoja alieshikiliwa wala kuhojiwa shameful, tutawaambia nini watoto wetu huko baadae.
Kitendo cha Magufuli Rais wa nchi Amiri jeshi mkuu mfariji mkuu kukaa kimya bila kujitokeza hadharani na kukemea lile tukio liliniumiza mno kwa nature ya Magu aliwezaje kukaa kimya what was behind the scenes
Je angeshambuliwa Polepole kama Lissu je mzee angekaa kimya? Lissu alipigwa risasi na nani, nani aliwatuma, kwa maslahi ya nani ili iweje nikikumbuka hili tukio hata unitajie mema mia ya John siwezi kuyaona
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Usingeibuka kwenye huu uzi kumtetea ngosha mwenzako ningebadili kabila...Kila binadamu yoyote mwenye roho wa Mungu ndani yake ataumizwa na tukio lile, na ikitokea kama kuna aliyefurahi basi huyo ana roho wa shetani!