Kama kiongozi na baba was familia angeitisha uchunguzi huru!! Duniani tunapita, Tenda yaliyomema kwa wenzio!!Msamehe,usiposamehe wewe pia hutasamehewa,lakini pia hakuna ushahidi kuwa magu ndio alimpiga risasi lisu
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Hakuzuiwa labda haukuwa unafuatilia , Lissu alikataa kuhudumiwa bongo na kibaya zaid akaona kenya sio sehemu sahihi pia akaenda ubelgiji na kumbuka dhamana ya serikali ni lazima uhudumiwe ndani ya nchi na kisha ikihitajika ndo unapewa kibali na serikali kwenda nje so ukiwa nje haki zako za kibunge zinatimizwa maana umetoka nje kwa taarifa rasmi , ila kwa kipindi chote anahudumiwa nje hakukuwai kupelekwa taarifa yake bungeni kuwa ana matatizo na ukumbuke serikali yyt duniani haijiendesha kwa vyombo vya habari au facebook au jf , hiyo ni pie hata Lissu angekuwa rais utaratibu ungekuwa huo huo so Lissu alikosea na anajuwa kisheria alikosea ila kisiasa alitaka kulitumia lile ttzo lke km mtaji wa uchaguz 2025 ila alikuwa kakosea kusoma upepo maana wenzie walimuwai kumpokonya jimbo ambalo ndo ilikuwa silaha kubwa kwakeHivi kwa nini wabunge wa CCM na wana CCM wengine hawakwenda kumuona Nairobi? Kwa nini alizuiwa matibabu ya serikali? Kwa nini alinyimwa haki zake za kibunge?
Hapa umempiga nyundo ya utosiUngelitazama kwa upana ungeanza na malalamiko aliyotoa Lissu kwa serikali kwamba kuna watu na gari zinamfuatilia wiki chache kabla hajapigwa risasi. Wewe unalitazama jambo hili kwa upana wa kimataga zaidi wala sio mtazamo huru.
Ilikuwa ndio message yake kwa kiumbe mwingine mwenye pumziYani ilionyesha kwamba anaweza kuuliwa mtu mda wowote na mahala popote Kwa utawala ule wa kishetani,hivi unaweza kupanua njia balabala nusu kilometer unawaambia watu walijenga kwenye hifadhi! Kule mwanza akasema hawa walipwe niwapiga kula wangu! Sina jema lakumkumbuka zaidi ya mateso Kwa binadamu wenzio
Anayepaswa kuthibitisha mhusika wa hilo tukio ni vyombo vya serikali, bunge na muathirika wa hayo madhila mwenyewe. Serikali na bunge wamekaa kimya na aliyebaki anaongea ni muathirika mwenyewe hivyo watu hawana budi kuchukua taarifa za upande wake mmoja tu mpaka pale taarifa za kiuchunguzi za pande hizo nyingine zitakapotolewa.Okay mkuu mtazamo wangu ni kuwa sijui nani anahusika na tukio hilo la lissu unaweza nithibitishia kuwa unaemsema kuwa ndio mhusika..??
Kumbuka marehemu ndugu zako inatosha,sisi wengine tutamkumbuka alikuwa Rais wetu.Yani ilionyesha kwamba anaweza kuuliwa mtu mda wowote na mahala popote Kwa utawala ule wa kishetani,hivi unaweza kupanua njia balabala nusu kilometer unawaambia watu walijenga kwenye hifadhi! Kule mwanza akasema hawa walipwe niwapiga kula wangu! Sina jema lakumkumbuka zaidi ya mateso Kwa binadamu wenzio
Ulikuwa ukimuona Yuko kanisani anapokea Sacramento mbele ya padri utasema mtu si huyu.Piga risasi nyingi, timua bungeni, dhurumu stahili zake,...
Magufuli alikuwa katili!
Unaongezewaj mshahara wkt hulitumiki taifa ipasavyo , unahis nchi yako ni Marekani ?Hakuniongezea mshahara miaka mitano.
Aliwai peleka taarifa polisi au ndo taarifa anaitoa akiwa youtube?Ungelitazama kwa upana ungeanza na malalamiko aliyotoa Lissu kwa serikali kwamba kuna watu na gari zinamfuatilia wiki chache kabla hajapigwa risasi. Wewe unalitazama jambo hili kwa upana wa kimataga zaidi wala sio mtazamo huru.
Upeo wko mfupi mno na upinzani imekuua akili , Lissu mwenyewe ndo alikata na kujiweka mbali na serikali , na utaratibu uko hv , mbunge atapewa haki za kibunge iwapo katoa taarifa bungeni pili kahudumiwa ndani ya nchi kisha hospitali husika ikajilizisha anaitajika aende nje ndo kibali kinatolewa serikalini ili akatibiwe nje ila Lissu alifanya mambo km nchi ni ya babu yake , ni kosa kubwa mno kwa mtu anaeijua sheria na taratibu za nchi kisha anataka kutumia ttzo lke km mtaji wa kujipeleka ikulu , watu mliamishia akili zote kwa Magufur kana kwamba Lissu hana madui wa kimaisha mtaaniKuzuia matibabu na kumnyima haki zake za kibunge, hilo nalo vipi? Wabunge wa CCM na wana CCM wengine kuzuiwa kwenda kumuona Nairobi nako ni sehemu ya upelelezi? Hujui hadi leo wabunge wengi wa CCM na wana CCM wengine wanaumia sana kushindwa kwenda kumuona Nairobi?
Muacheni abebe mzigo wa dhambi mwenyewe, msimsaidie kwa jambo msilolijua.
Punguza itikadi kali , nyie ndo taifa la leo kwa akil km zako mtafika kwel? yaan unajiamulia tu kuhukumu bila ushahidi , ndo mambo yanavyoenda hvyo?Unaandika kishabiki sana hadi umeingia kwenye kichaka cha cha conspiracies za JFK kumtetea mpendwa wako. Ulichofanya ni kulinganisha machungwa na mananasi tu.
Ukiachilia mbali mtu aliyehusika na mauji ya Kennedy alijulikana na alikamatwa pia fahamu kwamba FBI na CIA walikwisha toa taarifa na wameendelea ku declassify ripoti nyingi kuhusu tukio zima la kuuwawa kwa JFK, kulikuwa hadi na kamati za seneti/bunge(live) na kamati maalum ya Rais kufuatilia, kujadili na kutoa repoti kuhusu tukio hilo.
Watu kuamini au kutaka kutokuamini majibu yaliyofanana ya FBI, CIA, kamati ya bunge na kamati ya Rais ni jambo lingine lakini angalau uchunguzi ulifanyika na taarifa ambazo hazipingani zilitolewa na vyombo vinne tofauti.Familia ya Kennedy na Chama chake cha Democrat hawana malalamiko au dukuku kuhusu kifo chake. Kwa upande mwingine hakujawahi kuwa na taarifa YOYOTE kwa taifa kutoka serikalini au bungeni kuhusu kushambuliwa kwa Lissu.
Unahis Magu angehitaj kumuua angeshindwa? Kuna muda muwe mnatumia akili , Lissu ttzo lke aliamua kulutumia kisiasaHata SIRRO anajua kila kitu muda utasrma na Mungu ambae halali atayaweka hadharani mchana kweupee hakuna jiwe litasalia juu ya jiwe
Circumstantial evidence zote zinapoint in one direction.Msamehe,usiposamehe wewe pia hutasamehewa,lakini pia hakuna ushahidi kuwa magu ndio alimpiga risasi lisu
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Pole Sana kwa kumpoteza mpendwa wako.Upeo wko mfupi mno na upinzani imekuua akili , Lissu mwenyewe ndo alikata na kujiweka mbali na serikali , na utaratibu uko hv , mbunge atapewa haki za kibunge iwapo katoa taarifa bungeni pili kahudumiwa ndani ya nchi kisha hospitali husika ikajilizisha anaitajika aende nje ndo kibali kinatolewa serikalini ili akatibiwe nje ila Lissu alifanya mambo km nchi ni ya babu yake , ni kosa kubwa mno kwa mtu anaeijua sheria na taratibu za nchi kisha anataka kutumia ttzo lke km mtaji wa kujipeleka ikulu , watu mliamishia akili zote kwa Magufur kana kwamba Lissu hana madui wa kimaisha mtaani
Basi jishurutisheni ktk kudai uthibitisho na sio kusontea watu vidole huku hamna uthibitisho.Anayepaswa kuthibitisha mhusika wa hilo tukio ni vyombo vya serikali, bunge na muathirika wa hayo madhila mwenyewe. Serikali na bunge wamekaa kimya na aliyebaki anaongea ni muathirika mwenyewe hivyo watu hawana budi kuchukua taarifa za upande wake mmoja tu mpaka pale taarifa za kiuchunguzi za pande hizo nyingine zitakapotolewa.
Unakera lkn unafurahisha [emoji3] aya bana kongole kwenu wazee wa mikopo ya mchongo [emoji110]Huu ni wakati wa Mama,nimejiajiri na mambo yanakwenda safi Vitumbua mezani vya kutosha Wake zangu wanang'aa khanga mpya kila wiki
Nyie nendeni mkakeshe kwenye kaburi hapo kando ya Ziwa.
Mbowe alipeleka yeye taarifa za ugaidi polisi?Aliwai peleka taarifa polisi au ndo taarifa anaitoa akiwa youtube?
Hiki ndicho nakiwaza siku nyingi kuwa wapo watu behind the scene ila tu uchadema na uccm unatufumba machosiku yaja ambapo waliotaka kumuua Lissu na waliomuua Dr. Magufuli watajulikana na watakabiliana na mkono wa sheria.
Unamuombea kwa Mwenyezi Mungu apone haraka huku ukizuia serikali yako isimlipie matibabu. Watu wanajikusanya kufanya maombi ya mpendwa wao apone wanapigwa. Unamuombea kwa Mwenyezi Mungu huku ukizuia wabunge wa CCM na wanachama wengine wa CCM wasiende kumuona unayemuombea kwa Mwenyezi Mungu?
Hebu tuachane na hili mkuu maana hata huko kwenye nchi yao bado linautata licha ya kupita muda mrefu..Nje ya ripoti 4 rasmi conspiracies za kuwawa JFK zipo nyingi, hakuna kisa(conspiracy) kimoja tu, ziko nyingi, sijui unaniambia nifuatilie kisa kipi!. Hizi ni baadhi yake tu ; Mafia wa Chicago walimua baada ya kuwagekua, CIA walihusika, Israel, Cuba, Russia n.k wote wanatajwa kwenye mamia ya consiparicies zilizozagaa. Ni juu yako kuamini ripoti rasmi ambazo zipo au kuamini mmojawapo ya consipiracy unayoipenda na inayokuingia akilini, ila familia yake na chama chake cha Democrat hawakuwahi kutoka hadharani kutilia shaka hizo ripoti au kuonyesha kutoridhishwa, hiyo ni tofauti kabisa na suala la Lissu.