Nashindwa kumsamehe Magufuli kwa hili

Yule mzee alikua ana roho mbaya kishenzi...ndo.shida ya kuwapa madaraka makubwa watu wanaoamini umaskini ni sifa nzuri.
 
Basi jishurutisheni ktk kudai uthibitisho na sio kusontea watu vidole huku hamna uthibitisho.
Wewe kweli ni mataga wa PhD, tukio ambalo hakuna hata ripoti moja iliyo rasmi unaona ugumu kuamini conspiracy na unataka uthibitisho ila tukio ambalo limetolewa ripoti nyingi zilizo rasmi unang'ang'ania kuamini conspiracy! Kalaghabao.
 
Ttzo watz mkisha nunua tecno mnajikuta kujua kila kitu , hujui maadili ya jeshi kaa kimya , Magu anakuzid kila kitu anajua mengi ya jeshi kuliko ww maana kapitia huko
 
Nakubaliana na wewe kiroho safi wahusika watoe ushirikiano kwanza ndio waanze kuilaumu serikali
 
Hv ungekuwa rais ungeweza kujigawa ufanye ubaya na kuamulu kila ubaya kila mkoa ? Kuna tunaonesha unyani wa hali ya juu , yaan makosa ya mgambo unaenda kusema alitumwa na RPC , akili fupi sana , ktk maelezo yako yote sijaona neno rais ila mwisho kweny lawama unamshishia rais kana kwamba aliwatuma
 
Hii ni hasara
 
Hapa P ndipo unapokuwa na uongo ndani yake, hivi wewe na uelewa wako unataka kutulazimisha tuamini kwamba uchunguzi hauwezi fanyika bila ya kuwepo watu hao wawili uliowataja hapa Ndiyo maana wanakuuita mnafiki, juzi umeshuhudia kwenye kesi ya sabaya picha za cctv zimetumika mahakamani, je ilikuwaje ikaamriwa zile cctv za pale Dom zikaondolewa kama si kwa mamlaka husika. Kweli wewe hata usigombee maana sasa utaambulia kupata negative.
 
Hebu tuachane na hili mkuu maana hata huko kwenye nchi yao bado linautata licha ya kupita muda mrefu..
Kuwa na utata au kutokowa na utata sio kiini cha mjadala. Hata ripoti rasmi ya tukio la Lissu ingetolewa au ikitolewa lazima kuna watu au upande ambao kwao itabaki utata lakini jambo la muhimu lazima watu waonyeshe wamewajibika angalau kufanya kazi yao ya msingi.
 
Utawala wa mama ukiisha utajiunga na wanamuenz Magu , ss Mama anwupiga mwingi si Ccm si Chadema , anasikiliziwa Lissu ajae kwenye 18 ili wamtie ndani na yy , Mama sio Magu
 
Tangu lini serikali inagharamia matibabu ya wabunge?
 
Hii ni hasara
 
Ttzo akil yko fupi , rais atazungumziaj jamb kiofisi wakati mhusika au watu wake wa karibu hawajatoa taarifa rasmi bungeni , na ndio maana na yy rais alitoa pole huko huko mitandaoni Lissu alikopeleka taarifa
 
Umenielewa vibaya sikusema alimpiga risasi Lisuu ila km mkuu wa nchi kukaa kimya kwa tukio km lile kwa mtu ambae alikua mkosoaji wake mkuu ilikua inamaanisha nn

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Rais hawez kuzungumzia jambo lisilotambulika kiofisi , Lissu hakutoa taarifa bungeni na hiyo tosha kiofisi inaonesha Lissu ni mzima ila kwenye mitandao Lissu anatatizo na kwahali km hyo rais asingeweza kuongea chochote kiofisi mbali na yeye kutoa pole kwenye mitandao ambako kulikuwa ndo sehemu Lissu alipeleka taarifa
 
Huu ni wakati wa Mama,nimejiajiri na mambo yanakwenda safi Vitumbua mezani vya kutosha Wake zangu wanang'aa khanga mpya kila wiki


Nyie nendeni mkakeshe kwenye kaburi hapo kando ya Ziwa.

Sawa, we endelea kufurahia kanga mpya za kuchezea vigodoro kila wiki.
Lakini cheti feki kitakukumbusha uwepo wa magu hapa duniani mbaka siku unaingia kaburini.

Wewe pia unakesha kaburini bilakujua na popote nitakapokuona una pambana na kaburi unreasonably nitakuambia stop nonsense!.
 
Wewe hunijui sikujui unajuaje kama nina chati feki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…