Nashindwa kumsamehe Magufuli kwa hili

Ukweli humweka mtu huru, kosa la mauaji kama la Lissu na eneo la makao makuu ya nchi hata haihitaji eti mhanga aanze kwenda kupeleka mashahidi wa uchunguzi.

Hata hivyo ushahidi wa kimazingira unatoa picha ya watu kuamini kuwa lilikuwa na mkono wa dola katika tukio lile hii ni kwa sababu juu moja tu;

Wakati wa tukio kulikuwepo na cctv camera zilizo kuwa zinafanya kazi na ziliondolewa na mamlaka jambo ambalo limekuwa likizua maswali na hadi sasa serikali haijawahi kulitolea majibu. Hapa ndipo wanapoona mkono wa dola kuhusika.
 
mbona upo off topic kbs , unahisi serikali inaendeshwa kwa maneno ya mdomoni , unaonekana una ufaham mdg sn na ushabik unakufany uzid kuwa chin kiuelewa , narudia tena TAARIFA ZA KIOFISI ( MAHAKAMA , BUNGE NA MHIMILI WA SERIKALI ) ZINAKUWA KWENYE MFUMO WA MAANDISHI NA SIO KUONEKANA MBELE YA NDUGAI , UCHADEMA UNAKUFANY UNAKUW MPUUZ ova .
 
Ukiona hivyo ujue una matatizo ya kisaikolojia.
 
... thread ya kipumbavu kutoka kwa mpumbavu! Itoshe kusema hivyo!
 
Utawala wake ulijaa damu ya watu wasiokuwa na hatia
 
Uhusuka wake unabebwa na mazingira pasi na shaka, nani alito kamera pale kwa lisu, kwanini jeshi lilizuia ibada maalum kwa ajili ya lissu, kwanini bunge liligoma kumtibian , kwanini uchunguzi usianzie kwa aliye toa cctv camera kama kweli serikali haihusiki. Na ninani mwenye mamlaka ya kutoka cctv camera eneo la nyumba za mawaziri je ni vibaka?
 
Uko timamu kweli mkuu ? So tukio likitokea hayo maeneo ndo hauend kureport polisi ?( ukishindwa wewe basi watu wako wa karibu ) au ndo huoneshi ushirikiano na jeshi la polisi ? Kuna muda tunaitumia vibaya siasa na ipo siku itatutokea puani km Libya
 

Mkuu unasomeka vyema. Hata hivyo si tupiganie katiba mpya kwanza? Waona je kama tukiyatazama haya hivi?

1. Minyukano ndani ya CCM haitusaidii kwenye madai yetu ya katiba mpya.
2. Mwendazake hayupo tena, makando kando yake tuhangaike nayo kwenye "haki na maridhiano" baada ya katiba mpya.
3. Agenda zetu ni za kudumu si marafiki.
 
Pointless mkuu , hutoi taarifa ya kufiwa halaf unadai rambi rambi , stupid kbs , tumia akili kufikir vitu vingine havihitaji ushabik kbs
 
Acha kujaribu kumsafisha shetani.

Alikataza watu kumchangia damu na fedha.

Alikataza viongozi wenzake wa chama na serikali kwenda kumjulia hali Nairobi.

Alimnyima stahiki zake zote za kibunge na akaishia kumvua ubunge.

Shetani wahed!
Lete ushahidi hapa , hatutak mtulete hadithi za fisi na sungura
 
Ushahidi upo wa magu kumtuma Makonda na kikundi cha wasiojlikana, wala usiwe na wasiwasi. Ni suala la muda. Hata kama ametanguia iko siku tutakunya kwenye kaburi lake pale Chato
Lete ushahid , usihisi kila mtu mtoto humu ndan
 
Mkuu kiroka, yaani Magufuli aagize mwenyewe kuwa Tundu Lissu auawe na azikwe kwao Singida mara moja, halafu ulitaka yeye mwenyewe tena alaani?
Lete ushahidi bas wa Magu kutuma watu wamuue Tundu Lisu
 
NYONGEZA : bunge haliwezi kukuhudumia bila kulijulisha katika maandishi uzito wa hali yako
 
Toa huo unaouita uchadema & uccm turudi kwenye reality. Kwamba kweli alikuwa hajulikani alipo ?!. Yoote yana mwisho , hata Maghufuli leo kaiacha ofisi , ni wengine tena ambao asingependa wafaidi leo ndiyo wanaofaidi.

Mataifa yaliopiga hatua kabisa , viongozi wao hawana sababu za kukataa kukosolewa , wala hawanganganii uongozi . Tatizo lina nchi zetu masikini kiuongozi
 
Ninyi mlikula keki sasa ni zamu yetu, Mama kaachia uwanja kila mtu na nguvu zake.
View attachment 2063661
Mama ananyandua Chadema na Ccm at once , Sabaya ndani huku Mbowe nae anakaribia kuingia ndan , anafuatia Makonda upande wa pili Lissu awe makini sana maana ataitwa kuthibitisha tuhuma zake dhidi ya serikali muda utaongea tu [emoji3] kafara mmoja ccm kafara mmoja Chadema , mkistuka chadema nmebak mimi tu
 
Kama si mgeni hapa nchini jibu unalo.
Uenyeji ndo ushahidi wa tuhuma zenu ? hv Chadema mmekuwaj siku hz , mbona tulikwa na watu elite sana , Lowasa katuletea taka taka huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…