Nashindwa kumuelewa mume wangu, nikimkosea anaishia kulia

Kuwa makini watu wa namna hiyo siku uvumilivu ukimshinda anakupiga shoka moja chali na yeye anajisepesha au ajisepeshe yeye akuache uendelee na maisha yako
 
Uo kwenye ndoa miezi minne tu halafu unachat na mwanaume mwingine? Atakua analia kwa majuto

Tuli akwenye ndoa yako, muheshimu mumeo, jeng ndoa yako.

Akichoka kulia atahamia kwa mchepuka na hatarudi nyumbani halafu utabaki kulaumu
 
Punguza makali ya limbwata ili aanze kubweka kidogo kidogo maana siku likiisha lenyewe anaweza kuondoka bila kuaga au ndani kwako ikafunguliwa bucha
 
Huyo ni mume au boyfriend? Mlikaa muda gani Kwenye uchumba km ni mume? Ukuwahi kuyajua hayo yote?
 
Heee siku utapigwa tukio hutokaa usahau, yani achana na mtu wa hivyo yote usidhani amesahau anawekaa moyoni anashauriana na serikali ya kichwa chake. Ipo siku atakutimua ama atakuachia nyumba kaanze upya.
 
Heee siku utapigwa tukio hutokaa usahau, yani achana na mtu wa hivyo yote usidhani amesahau anawekaa moyoni anashauriana na serikali ya kichwa chake. Ipo siku atakutimua ama atakuachia nyumba kaanze upya.
Bora apigweee...atajikuta yupoo ahelaaaa...!!
 
Huyu ni wale watu wanao.kusanya kidogo kidogo na kuhifandhi moyoni.
Siku atakapochoka. Uchebe atakuwa na nafuu.. ndio wake wanakata mke kwa shoka
Uchebe atakaa chini aandike notes za tukio zima.🤣🤣🤣
 
Duhh ,
Hii ndio sababu unachat na baharia! Hizi ndoa kila nikifikiria naona Ni bora kuwa single,
Imagine unaishi na mtu ambaye unajua kabisa ana under perform na huna guts za kumshape the way unavyotaka let alone kumwambia hali halisi ?

Sent
 
Sio kwamba anafanya rehearsal ya msiba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…