Nashindwa kumuelewa mume wangu, nikimkosea anaishia kulia

Ana tatizo kubwa la kisaikolojia, kwa Sasa huwezi kulijua ila siku akikucharaza mapanga utafamu kiundani zaidi Hilo tatizo
 
Kuwa makini sana ujue anatafuta hela ya magunia mawili ya mkaa na kidumu cha petrol

Usichukulie poa, kimbia
 
Mshukuru sana Mungu wako.

Mbadala wa yeye kumwaga machozi ni kukushushia mangumi.
 
pumbavu wewe
 
Akikumbuka kesi ya mauaji inayokuja mbele ndiyo anaishia kulia tu
 
Tunaomba picha yako kabisa wakati tukijiandaa kukufungulia uzi wa kukupoteza mwana jf mwenzetu...
 
Huyo anakupimia. Atakuja kukukuua wala usifurahie huo Unormal wake unapomkosea. Watu km hao wanafuga uchungu ndani....Siku nyongo ikishindwa kustahimili...UJUE HUTAKUWEPO NASI TENA. Andika wosia kama alivyokushauri @ndakrepha
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]comments hapanaa[emoji119]

Anyway jiandae tu just jiandae kuna kubwa linakuja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We endelea na uboya wako jamaa atakuja aku-shilole mpaka ushangae!
 
Nimekumbuka rafiki yangu nae,, jamaa yake akikosea na akiulizwa basi anaanza kulia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…