Nashindwa kupenda mtu mwingine

Unazungumzia mkee sie wengine tunazungumzia madem zetu wa mtaani
 
Hatimae baada ya kuamua kumkaushia ..leo kaamua kuniletea mwenyew...tuko hapa muda wwte anaenda kweny uwanja wa machinjio
 
Unampenda lkn yy hakupend tena, umeachwaa ee kubali kubali...utampata wako mtapendana teh teh teh


Kila kitu huwa na mwanzo na mwsho.....
 
Mkuu unadhani waliojiua walikuwaga hawana akili au?Ni kumuomba Mungu tu na pia kujifunza kutokana na makosa.By the way leo kanipigia mwenyewe asubuhi na pia ameniunblock.Ila ambacho hajui ni kuwa ameshajipunguzia credits nyingi sana kwangu.Kiukweli now it's all about me, myself and I.Nashukuru Mungu kupitia changamoto nimepata suluhisho.Nitaenda nae mdogo mdogo,mpaka sasa yeye ndio awe anasuffer.
 
Kwani #mshanajr anasemaje kwa upande wa njia za Asili?[emoji1]
 
Hivi wanaume wa hivi wanapatikanaga wapi? ....
Hebu weka na picha tuone unafananaje.
Ushauri mzuri utafuata.
 
Mimi kuna mmoja anaitwa Jackie. Yaani nampenda bado hadi leo. Ni miaka 9 imepita sasa na bado yuko moyoni mwangu.

I hope tutaishi wote siku moja
 
Totoz zipo nyingi ebu tulia ,ameshapata mwingine just move on.
 
Hivi wanaume wa hivi wanapatikanaga wapi? ....
Hebu weka na picha tuone unafananaje.
Ushauri mzuri utafuata.
Wenye upendo wa dhati tupo mkuu
Kiukweli sina sura wala muonekano mzuri wala pesa. She just loved my inside
Je kwanini unasema niweke picha
 
Hongera mkuu, ila kama bado yeye ndio mwenye power kwenye mahusiano yenu ..hayo mambj yataendelea kujirudia mpaka pale utakapo shika usukani na kuheshimiwa kama mwanaume
 
Ulimkoseaje msichana unayempenda kuliko wanawake wote??
 
Hongera mkuu, ila kama bado yeye ndio mwenye power kwenye mahusiano yenu ..hayo mambj yataendelea kujirudia mpaka pale utakapo shika usukani na kuheshimiwa kama mwanaume
Asante sana mkuu.Kwa kuwa tumeambiwa tuishi nao kwa akili,basi kila kitu kitaenda sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…