Nashindwa kupenda mtu mwingine

Nashindwa kupenda mtu mwingine

kwani ukiwa unapiga simu wewe kila siku unakufa wakati mwingine unaachana na soulmate wako kijinga vitu vingine unaacha uende .. hata sisi wadada tunapimaga upendo tunapiga kimya week tuone kama kweli una nia ama mzugaji
maana siku hizi wahuni ndo wanajifanyaga wako romantic sana sms, calls kila saa kumbe wanakulia target
Ukimtafuta wewe kila siku hupungukiwi chochote
Hahahah umtafute siku kila siku ni Mungu huyo ama? Wanawake mna wazimu sometimes. Piga simu upigiwe sio unakalisha tu unategemea utafutwege tu!

Nikikutafta mara 2 mfululizo hurespond kama kawaida jua tu nanga lazma ipaishwe😂
 
Hamn kitu Kam icho unapima nn wakat kweny mahusiano tumeshakuw na mazoea ya kutafutana kwa wakat wowot Kila unapojickia kuwacliana na mwenzio, bila kujal Kam kwa cku Kam amekutafuta au hajakutafuta, mmoja wpo akishaanza kukufanyia yupo busy iloni tatzo ndo chanzo Cha mengi hapa mapenzi co utumwa
Dem chizi huyo mahusiano yakiwa sawa kuna balance ya mawasiliano. Hutakaa hata siku 1 uombe upigiwe ila simu zinapishana toka kwako na kwake bila shida.
 
Achana na mapenzi, fanya mambo mengine nawee lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilimpenda na nampenda sana huyu mwanamke, ni mwaka na miezi 4 toka kaniacha. Nilimkosea mimi akaniacha.
Nashindwa kumpenda mtu mwingine kila ninapokaa siachi kumuwaza yeye, kila kitu nachofanya kinanikumbusha uwepo wake ninyeye aliyekua mwanamke wangu wa kwanza maishani mwangu.

Nisaidieni wakuu Nifanyeje nimrejeshe, Nampenda sana tatizo kaniblock kila mahali, kila namba nikiitumia kumpigia ananiblock hataki hata kuongea nami😢 Yeye ndio furaha yangu sidhani kama naweza kumpata mwingine ninayempenda kama nimpendavyo huyu mwanamke.

Bora nibaki hivi hivi kuliko kutafuta mwanamke mwingine tofaauti yake. Nataka kukaa na kumbukumbu zake maishani mwangu siku zote. Naombeni ushauri wakuu Nifanyeje kumpata tena mpenzi wangu huyu?? Kila nikimpigia ananiblock. Nifanyeje mimi??

I'm in so much pain wapendwa 😢
hiyo limbwata uliwekewa naona lilikuwa kali sana. awali nilijua mwanamke ndio analalamika hivi, kumbe mwanaume? mwanamke amekublock mazima na wewe unashindwa kuishi? mwanamke anakuwaje furaha yako kwa mfano? sisi ndio tunatakiwa kuwa furaha ya mwanamke, kama mwanaume hutakiwi kuoa mtu ambaye wewe unampenda kuliko yeye anavyokupenda, utakufa mapema. potezea au nenda church kaombewe utakuja kunishukuru. sio wewe huyo.
 
Bora nibaki hivi hivi kuliko kutafuta mwanamke mwingine tofaauti yake. Nataka kukaa na kumbukumbu zake maishani mwangu siku zote
Mbona umeshamaliza kila kitu hapa?! Unataka tena ushauri gani sasa??
 
Oeni wanawake wanaowapenda na sio wanawake mnaowapenda... Mkiishi kwa falsafa hii mtaishi kwa furaha...
Hivi kuna anaependa asiye taka kupendwa ?

Ndiyo maana niliacha kujifunza Falsafa kwa sababu ina uongo mwingi sana. Kumpenda mwanamke kwetu sisi Wanaume hilo ni umbile letu.

Usahihi wa mambo ni kuwa tuoe katika Wanawake ambao tunawapenda.
Mwanamke kadri unavyompenda ndio unazidi kumuweka mbali na wewe kihisia... Ona sasa unavyotapatapa
Hizi habari huwa mnazipata wapi aisee. Au sisi wake zetu ni tofauti na Wanawake wenu nini ?
 
Pole sana mkuu,tupo wengi tunapitia hii hali kumbe.Mimi ninaishi mkoa mwingine na mke wangu,last week alinifanyia bullying flani hivi.Aisee sitaki hata kukumbuka,maana nilijikuta nimeenda sehemu nikanywa pombe halafu nikajaribu kujiondoa kwa njia mbalimbali zaidi ya mara tatu.Mungu akaniepusha,nikarudi ninapoishi ndio nikamtafuta sasa ili nimwambie alichokuwa amenisababishia.Nikakuta ameniblock kwenye namba zake zote.Nikaingia what's app nikamuona yupo online nikamuomba tuongee akaniblock.Nikawaza kuwa hivi anajua aliyokuwa anisababishie?Nikaanza kupata maumivu makali ya moyo,leo kazini sijaweza kufanya lolote.Ikabidi nishare na baadhi ya wafanyakazi wenzangu,ndio wakanipa moyo kuwa nijaribu kwanza kurelax.Maana moyo ulikuwa unauma sana.Kisha nitafute njia taratibu za kutatua tatizo huku nikimshirikisha Mungu.Kiukweli nashukuru Mungu japokuwa bado ameniblock,imesaidia kidogo.Japo bado Moyo una maumivu sana.Kwa hiyo naelewa sana unayopitia ndugu yangu.Mungu atusaidie sote, Ameeeeeen!
Tatizo sio mwanamke tatizo ni wewe. .

Ishi nao kwa akili , ukishindwa acha haupo kwenye kifungo..!

Sasa unapofikiria kujiua ndio solution uliyokuja nayo unahidi una akili sawa sawa ya kuishi na huyo mwanamke?

Pole sana kwa matatizo mkuu, lakini jaribu kutumia akili usilazinishe mahusiano yasiyowezekana mtajitafutia matatizo makubwa
 
Hahahah umtafute siku kila siku ni Mungu huyo ama? Wanawake mna wazimu sometimes. Piga simu upigiwe sio unakalisha tu unategemea utafutwege tu!

Nikikutafta mara 2 mfululizo hurespond kama kawaida jua tu nanga lazma ipaishwe[emoji23]
Sometime huwaga hawajitambui hawa mkuu hawajui Kuna sie wahuni ambao hatuwezi kumsujudia mwanamke kamwe
 
Back
Top Bottom