Nashindwa kupenda mtu mwingine

Nashindwa kupenda mtu mwingine

WOTE MNAONIDHIHAKI NA KUNIONA MJINGA AHSANTENI SANA

ILA JUENI KUA SIO RAHISI KAMA MNAVYOTAKA IWE, ACHAN TU NITESEKE KWAKE MAANA NU MAUMIVU MATAMU
Tafutw Hela umpate mwanamke yeyotr umpendae Mwanaume kuishi na maumivu ya mapenzi Miaka 4 ni utahiraaaaaa...!!! Move on aisee huo sio Uwanaume kijana usimfanye mwanamke kama Mama mzazi amekukataa...
 
Mtafute kwa namba ngeni mtongoze upya cku ya kukutana nae usiende kizembe tupia kinyamwez, hakikisha mboli limenona pia usisahau kwenye na kausafiri azima ata kwa mshkaj na akikisha cku iyoiyo unamtafuna czan Kam ataruka
 
Mkuu kama unataka msaada kweli kweli kabisa mtafute Evelyn Salt au hata Miss Natafuta

Hopefully wanaweza kukushauri jambo maana wao wana busara sana kuliko wengi humu
Ahsante sana RM hakika haujakosea.....

Kwako mtoa mada wanawake mbona tupo wengi jamani, ana maajabu gani huyo dada ex? kisa kakutoa bikra? huo ni ugeni wa k tu onja na zingine utamsahau
 
Nilimpenda na nampenda sana huyu mwanamke, ni mwaka na miezi 4 toka kaniacha. Nilimkosea mimi akaniacha.
Nashindwa kumpenda mtu mwingine kila ninapokaa siachi kumuwaza yeye, kila kitu nachofanya kinanikumbusha uwepo wake ninyeye aliyekua mwanamke wangu wa kwanza maishani mwangu.

Nisaidieni wakuu Nifanyeje nimrejeshe, Nampenda sana tatizo kaniblock kila mahali, kila namba nikiitumia kumpigia ananiblock hataki hata kuongea nami[emoji22] Yeye ndio furaha yangu sidhani kama naweza kumpata mwingine ninayempenda kama nimpendavyo huyu mwanamke.

Bora nibaki hivi hivi kuliko kutafuta mwanamke mwingine tofaauti yake. Nataka kukaa na kumbukumbu zake maishani mwangu siku zote. Naombeni ushauri wakuu Nifanyeje kumpata tena mpenzi wangu huyu?? Kila nikimpigia ananiblock. Nifanyeje mimi??

I'm in so much pain wapendwa [emoji22]
Acha ufala; wanawake wote hawa unalizwa na mwanamke mmoja tu ???
 
Back
Top Bottom