Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke alikuwa anashirikiana na familia yake kuniibia pesa kila siku, nikitoa hela kumbe kashawatumia na kwao wakaange kuku, siwezi kulisha matumbo ya familia nzima tena mijitu mizima yoteYaani peke ako unatumia 10k per day alafu we na mkeo per day mlikua mnatumia 60k mlikua mnakula nini au mnakulaje?
Pesa zangu mimi za kulisha familia yao nzima yakwangu nani anawalisha,Hongera sana mkuu,hivi viumbe vinatukamua sana yaan unajikuta unalipia rejesho la upatu,vikoba,sijui kausha damu,tuinuane group halafu kwa wakati mmoja bila kujijua..
Au uli mu approach ki kuku🤣😂😂Maisha yanaenda hivi, yeye wakutaka kuku kila siku mke gani huyo asokuwa na uchungu na mumewe
Tena huwezi amini nilimfwata kwao kipindi namuoa nikamkuta kachakaa, nywele hazijawahi kuoshwa wala hana nguo mpya, kachanganyikiwa kama mwehu leo hii alete ujinga, karudi kwao akaokote makopo kama nilivomkuta kule, kaka zake wote vibaka kajisahaulisha leo wakuniletea zarau? Mke gani kila wakati anazungumza na baba yake mpaka usiku wa manane,Au uli mu approach ki kuku🤣😂😂
jifunze kuficha madhaifu ya mwenza ako, Afu usikute huyo mama ndo kamuharibu mkeo🤔🙄Tena huwezi amini nilimfwata kwao kipindi namuoa nikamkuta kachakaa, nywele hazijawahi kuoshwa wala hana nguo mpya, kachanganyikiwa kama mwehu leo hii alete ujinga, karudi kwao akaokote makopo kama nilivomkuta kule, kaka zake wote vibaka kajisahaulisha leo wakuniletea zarau? Mke gani kila wakati anazungumza na baba yake mpaka usiku wa manane,
Kuna mama mmoja kanambia ukoo wao wanawake wanatabia ya kulala na baba zao kimapenzi, kanambia mwanangu kaa mbali baba yake atakuwa analala nae mana anawajua
Mimi nilikuwa nalisha familia nzima yakwao ya kwangu nani atawalisha, akwende mwanaharamu yule
Haki wewe unachekesha, mm sipendi wanaume wasio na msimamo. Kuna raha ya mwanaume kuwa na misimamo juu ya maamuzi yake, sasa kwa maelezo yako naona kabisa hukustahili kuwa dume, yaani namna unavyonungunika ungekutana na type za wanaume wenye misimamo wangekupa mipasho ya kiume kwa kukiuka miiko ya uanaume!Tena huwezi amini nilimfwata kwao kipindi namuoa nikamkuta kachakaa, nywele hazijawahi kuoshwa wala hana nguo mpya, kachanganyikiwa kama mwehu leo hii alete ujinga, karudi kwao akaokote makopo kama nilivomkuta kule, kaka zake wote vibaka kajisahaulisha leo wakuniletea zarau? Mke gani kila wakati anazungumza na baba yake mpaka usiku wa manane,
Kuna mama mmoja kanambia ukoo wao wanawake wanatabia ya kulala na baba zao kimapenzi, kanambia mwanangu kaa mbali baba yake atakuwa analala nae mana anawajua
Msimamo gani ndugu yangu, wewe ukae na mke analala na baba yake kimapenzi utavumilia sio, hizi habari nimeambiwa baada ya kumfukuzaHaki wewe unachekesha, mm sipendi wanaume wasio na msimamo. Kuna raha ya mwanaume kuwa na misimamo juu ya maamuzi yake, sasa kwa maelezo yako naona kabisa hukustahili kuwa dume, yaani namna unavyonungunika ungekutana na type za wanaume wenye misimamo wangekupa mipasho ya kiume kwa kukiuka miiko ya uanaume!
Ulimfumania, yanni mwenye tatizo ni wewe. Huwezi kumudu ndoa wewe, baki bachelor maana kwa mwenendo huo hata ukipata mwanamke sahihi utamboa na hizo tabia zako. Hadi majirani unakaa nao kumdiscuss mkeo, duh tpu mbakasia.Madhaifu yanafichwa lakini sio la kulala na baba yake mzazi, umalaya wa aina gani huu
Majirani wamenieleza walikaa kimya mpaka nione mwenyewe kwa macho mana alishalala na baba yake mzaziUlimfumania, yanni mwenye tatizo ni wewe. Huwezi kumudu ndoa wewe, baki bachelor maana kwa mwenendo huo hata ukipata mwanamke sahihi utamboa na hizo tabia zako. Hadi majirani unakaa nao kumdiscuss mkeo, duh tpu mbakasia.
Kama ni mke hiyo vita bado ni mbichi.Majirani zao wananambia ukoo wao mabint wana tabia za kulala na baba zao, nakweli nikapata picha alikuwa anaongea sana na baba yake kuliko mtu mwingine mpaka usiku wa manane