Nashukuru baada ya mke wangu kuondoka, pesa inaonekana mfukoni

Nashukuru baada ya mke wangu kuondoka, pesa inaonekana mfukoni

Majirani zao wananambia ukoo wao mabint wana tabia za kulala na baba zao, nakweli nikapata picha alikuwa anaongea sana na baba yake kuliko mtu mwingine mpaka usiku wa manane
Kama ni mke hiyo vita bado ni mbichi.
Usishangilie ushindi mapema.
Na talaka hujatoa bado.
Kama wewe ndio chanzo Chao Cha mapato basi jiandae kisawasawa.
 
Mkuu ela zako unataka ukalie kaburini uzilundike sio huo sio urijali mkuu.

Tumia kijana uendelee kutafuta zaidi Wanaume wote tunatafuta fedha kwa ajili ya kujihudumia sisi wenyewe via ndugu, jamaa, watoto na wanawake sasa wewe unataka ukatumia nanani huo ni ubinafsi ambao hautokufikisha popote.
 
Kama ni mke hiyo vita bado ni mbichi.
Usishangilie ushindi mapema.
Na talaka hujatoa bado.
Kama wewe ndio chanzo Chao Cha mapato basi jiandae kisawasawa.
Bora lingekuwa la yeye kunifilisi tu lakini kumbe analala na baba yake hilo hapana halivumiliki, wanaume wenzangu angalieni sana msije kuta wake zenu wanalala na baba zao kama yaliyonikuta
 
Acha kujificha ktk kivuli cha ndotoni, ungekuwa mwanaume mwenye akili timamu ungelizungumza na mkeo au kuweka msimamo wako bayana juu ya namna ya kuhandle maisha yenu ndani, kutenga budget na kumjuza ahakikishe inatumika ndani ya muda fulani siyo kupelekwa na mihemko.
Ulichoandika hapa kimekuvua nguo, wanaume wanaojitambua huwa washajua wakioa familia zao wataziendeshaje, sasa wewe sijui ulioa kwa kichwa cha chini au cha juu.
Hebu jifunze kwa wenzio maana unatia aibu, ptuuuuu.

Mkuu watu kama wewe kujibu watu wa design hii ni kujidharirisha
Huenda mtu unayemjibu yupo kwa dada kula yake mpaka shemeji afurahie tendo kwa dada.
Tushaelewa ni utoto akikua ataacha
 
Wanawake wanatuingiza kwenye matumiz makubwa lakini pia wanatupanua kichwa ili tuweze kupanua kipato
 
Bora lingekuwa la yeye kunifilisi tu lakini kumbe analala na baba yake hilo hapana halivumiliki, wanaume wenzangu angalieni sana msije kuta wake zenu wanalala na baba zao kama yaliyonikuta
Una ushahidi mkuu
Yaani ule ushahidi usio na shaka?
Wanaume sisi huwa hatusikilizi stori
 
Acha kujificha ktk kivuli cha ndotoni, ungekuwa mwanaume mwenye akili timamu ungelizungumza na mkeo au kuweka msimamo wako bayana juu ya namna ya kuhandle maisha yenu ndani, kutenga budget na kumjuza ahakikishe inatumika ndani ya muda fulani siyo kupelekwa na mihemko.
Ulichoandika hapa kimekuvua nguo, wanaume wanaojitambua huwa washajua wakioa familia zao wataziendeshaje, sasa wewe sijui ulioa kwa kichwa cha chini au cha juu.
Hebu jifunze kwa wenzio maana unatia aibu, ptuuuuu.
We kaka kama hujaoa nioe😂😂😂
 
Tena huwezi amini nilimfwata kwao kipindi namuoa nikamkuta kachakaa, nywele hazijawahi kuoshwa wala hana nguo mpya, kachanganyikiwa kama mwehu leo hii alete ujinga, karudi kwao akaokote makopo kama nilivomkuta kule, kaka zake wote vibaka kajisahaulisha leo wakuniletea zarau? Mke gani kila wakati anazungumza na baba yake mpaka usiku wa manane,
Kuna mama mmoja kanambia ukoo wao wanawake wanatabia ya kulala na baba zao kimapenzi, kanambia mwanangu kaa mbali baba yake atakuwa analala nae mana anawajua
Punguza ukali wa maneno mkuu. Hasira zisikupelekeshe mpka ukavuka mipaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom