Nashukuru baada ya mke wangu kuondoka, pesa inaonekana mfukoni

Nashukuru baada ya mke wangu kuondoka, pesa inaonekana mfukoni

Insha
Siku ukiapta mwanamke anaeendana na standards zako za maisha vuta ndani,sio mwanamke anaekuja kubadirsha direction yako uliyoizoea.halafu ufuate upuuzi wake,
Inshallah ndugu yangu una busara sana mkuu utafika mbali
 
Pole aisee..

Binafsi ilikuwa vice versa. Pesa ilionekana baada ya kuoa. Mambo ya matumizi mabaya yalikoma, chakula nakula nyumbani siyo sehemu za starehe. Ila ni wale wake wa zamani. Nilibahatika namshukuru MUNGU.
 
Una bahati sana
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Nafikiri walikua wanakula mbuzi mzima kila siku uongo mwingine ni ujinga tu.
 
Tena huwezi amini nilimfwata kwao kipindi namuoa nikamkuta kachakaa, nywele hazijawahi kuoshwa wala hana nguo mpya, kachanganyikiwa kama mwehu leo hii alete ujinga, karudi kwao akaokote makopo kama nilivomkuta kule, kaka zake wote vibaka kajisahaulisha leo wakuniletea zarau? Mke gani kila wakati anazungumza na baba yake mpaka usiku wa manane,
Kuna mama mmoja kanambia ukoo wao wanawake wanatabia ya kulala na baba zao kimapenzi, kanambia mwanangu kaa mbali baba yake atakuwa analala nae mana anawajua

Ulioa jini mufilisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ulioa jini mufilisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli ndugu yangu niliteseka sana nae hela zikawa zinateketea kama sio za jasho vile
 
Back
Top Bottom