Nashukuru baada ya mke wangu kuondoka, pesa inaonekana mfukoni

Insha
Siku ukiapta mwanamke anaeendana na standards zako za maisha vuta ndani,sio mwanamke anaekuja kubadirsha direction yako uliyoizoea.halafu ufuate upuuzi wake,
Inshallah ndugu yangu una busara sana mkuu utafika mbali
 
Pole aisee..

Binafsi ilikuwa vice versa. Pesa ilionekana baada ya kuoa. Mambo ya matumizi mabaya yalikoma, chakula nakula nyumbani siyo sehemu za starehe. Ila ni wale wake wa zamani. Nilibahatika namshukuru MUNGU.
 
Una bahati sana
 
Reactions: Tsh
Nafikiri walikua wanakula mbuzi mzima kila siku uongo mwingine ni ujinga tu.
 
Ulioa jini mufilisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ulioa jini mufilisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli ndugu yangu niliteseka sana nae hela zikawa zinateketea kama sio za jasho vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…