Acha kunipotezea muda Mimi sijaanza na Diploma Kitaaluma kama Majuha ( Morons ) nyie sawa?
Mifumo ya elimu.
Kwanza ifahamike hakuna mfumo mmoja ulio Bora kushinda mwenzie.
Mifumo yote ni mizuri na hakuna ulio bora kushinda mwingine unless atokee popoma mmoja atakaye sifia A na kuponda B kwa sababu ya personal interest zake.
Pili elimu itambulike mwisho kidato Cha sita yaani academic.
Baada ya hapo kinachofuata ni Taaluma.
1)Direct kutoka kidato Cha Sita
Hapa naomba ijulikana mtu ataomba undergraduate studies au Diploma baada ya kumaliza kidato Cha sita.
Mfano:Hapa kundi kubwa la watu wa PCB, PCM,PGM huangukia kwa sababu ya mfumo mbovu wa shule za serikari eneo hili huwezi kumkuta yule popoma wa Alasiri ila yeye utamkuta hakuna kusoma kufaulu lazima.
2) Direct kutoka form four kwenda college
Hapa Kuna Lile kundi linaloomba kwenda technical college.
Mfumo huu ndio uliotengeneza wataalamu kibao kwenye Mataifa yaliyoendelea. ambayo inamuandaa kijana kuwa mtaalamu badala ya general knowledge ya kidato Cha sita.
Hapo Kenya tu, ukimaliza shule ya upili basi unajiunga na college.
Kumbuka diploma inamuandaa mtu kuwa mtaalamu na sio mfanya maamuzi ambao ndio msingi wa Taifa lolote duniani.
3) VETA au Mafundi mangungo
Nani asiye ijua thamani ya elimu itolewayo na Veta kwenye nchi nchi hii.
Kumbuka kuingia Moja kwa Moja kutoka kidato Cha sita au Kupitia college haimfanyi mtu awe na akili au hapana ila inategemeana na mazingira.
Hivyo huyu popoma wa mass communication anayejihesabu ana akili, mjue tu hakuna kitu.
Shuleni kote vichwa husoma sayansi, halafu Biashara na Hesabu huko kwenye Sanaa ndio unakompata popoma ambaye naye akili kisoda.