WAZO2010
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 1,615
- 3,784
Mm nina Elimu za nchi nyingi siyo huo Ujinga wenu wa UDSM. Mhimbili na Ardhi ni Products za UDSM. Hivi hiyo hospitali ya Mhimbili ramani yake ili sanifiwa na nani kama siyo wajinga wa UDSM? Taja tangible products ya UDSM inayo weza kuwa market hapa Tz. Hivi tafiti ya kuwa na Panya (SUA) ni tafiti ya kujisifia karne ya 21 a Public Institution? Una tofauti gani na KIU?Sikiliza wewe graduate wa SAUT unaeyeficha cheti chako kila undapo interview watu wasijue umesoma huko kwa mapopoma (ni aibu kujitambulisha umesoma SAUT mbele ya watu)
Graduates wa UDSM, Mzumbe, SUA ndo hua wanakaa meza moja kunegotiate na kuwapa kazi hao wachina unaowasema.
Nyie mapopoma wa SAUT hua hamsogei popote watu wazima wenye IQ kubwa wanapojadili mambo ya nchi
Cc GENTAMYCINE
UDSM ina jengewa hostels, ina lipiwa mishahara na serikali ina someshewa watumishi, tafiti ziko funded afu eti ina shindana na SAUT kutoa course za Certificate in Business! Real? Endelezeni ujinga akati Bombadier zote zimeharibika hakuna chuo cha kuzitengeneza.