Aziz Ki Mayele
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 899
- 1,955
SAUT ni chuo walichokua wanaenda wenye III na IVKiukweli bila kupepesa macho wala kutafuna maneno SAUT ni the best. Nakumbuka back in time "C" ya SAUT ni 50 wakati UDOM ilikuwa 41.
Kuna jamaa walipata div IV wakaenda kula sijui ndo inaitwa pre university miezi kama mitatu then wakaingia kugonga degree
Hata huyu GENTAMYCINE lazima alikula four akapiga hii pre course