Nashukuru Chuo Kikuu changu bora Tanzania nzima cha 'SAUT Mwanza' ndicho hakina 'Upuuzi' huu

Kiukweli bila kupepesa macho wala kutafuna maneno SAUT ni the best. Nakumbuka back in time "C" ya SAUT ni 50 wakati UDOM ilikuwa 41.
SAUT ni chuo walichokua wanaenda wenye III na IV

Kuna jamaa walipata div IV wakaenda kula sijui ndo inaitwa pre university miezi kama mitatu then wakaingia kugonga degree

Hata huyu GENTAMYCINE lazima alikula four akapiga hii pre course
 
Na Wewe ni JF Great Thinker au ni JF Great Fool?
 
Juha ni wewe[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kutwa kujisifia una akili kumbe chenga tu, akili kisoda
Ukoo wako ungebahatika kumpata GENTAMYCINE Mmoja tu Ungeringa na Mngeringa mno, ila kwa bahati mbaya imekuwa ni Kinyume chake.
 
Yaani hata Muhaya asingeweza kujisifia kwa hiyo course, tena ndume kabisa ndio limesoma.

Hiyo ni kozi laini laini kwa wenye akili kisoda
Inaonekana umezoea na unapendelea sana Vitu laini laini kukupa Ushirikiano wa Kibaikolojia au?
 
Kama ulipata div I au basi angalau II basi ulihongwa (ulilipwa) ili ukawe maonyesho kwamba hata SAUT hua zinaenda div I.

Wewe ne reject kwa vyuo vingine .. Bila SAUT ya wabeba IV usingepata degree yako ya mchongo hiyo
 
Wasted Sperm.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] ulijuaje ila haiondoi mantiki kuwa huna mchango hata kwenye jamii yako achilia mbali familia yako.

Mantiki ya elimu ya juu sio kujisifia kipumbavu bali kujitofautisha na kuleta mawazo mbadala.

Kutatua changamoto za jamii yako, kuwa humble na kuweza kujifunza hata kwa mjinga wa mwisho kama GENTAMYCINE

Sasa huyu msomi kihiyo wa Saut kwenye semi-proffesional industry naye anatamba ni msomi na kuwaita wenzie vilaza.
 
Ukoo wako ungebahatika kumpata GENTAMYCINE Mmoja tu Ungeringa na Mngeringa mno, ila kwa bahati mbaya imekuwa ni Kinyume chake.
Nadhani ukoo wako unasaga meno na kumlaumu baba yako kwa kuuza ng'ombe inayotoa maziwa ili ipelekwe ng'ombe nyingine isiyo na faida shule
 
Inaonekana umezoea na unapendelea sana Vitu laini laini kukupa Ushirikiano wa Kibaikolojia au?
Ni aibu kwa mtu mwenye jinsia ya kiume kujifakharisha na kuona fahari kusomea Uandishi wa habari.

Hizo ni kozi za kawaida, uhitaji kufikirisha ubongo ili mtu attain shahada ya kwanza.

Ila unaonekana kabisa kipofu kaona mwezi
 
Kama ulipata div I au basi angalau II basi ulihongwa (ulilipwa) ili ukawe maonyesho kwamba hata SAUT hua zinaenda div I.

Wewe ne reject kwa vyuo vingine .. Bila SAUT ya wabeba IV usingepata degree yako ya mchongo hiyo
Nonsensical.
 
Ni aibu kwa mtu mwenye jinsia ya kiume kujifakharisha na kuona fahari kusomea Uandishi wa habari.

Hizo ni kozi za kawaida, uhitaji kufikirisha ubongo ili mtu attain shahada ya kwanza.

Ila unaonekana kabisa kipofu kaona mwezi
Rubbish.
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] ulijuaje ila haiondoi mantiki kuwa huna mchango hata kwenye jamii yako achilia mbali familia yako.

Mantiki ya elimu ya juu sio kujisifia kipumbavu bali kujitofautisha na kuleta mawazo mbadala.

Kutatua changamoto za jamii yako, kuwa humble na kuweza kujifunza hata kwa mjinga wa mwisho kama GENTAMYCINE

Sasa huyu msomi kihiyo wa Saut kwenye semi-proffesional industry naye anatamba ni msomi na kuwaita wenzie vilaza.
Garbage.
 
Naona kila mtu anatetea chuo chake alichosoma kwa kusifia ni kizuri.

Nakuja kuhitimisha kwa kusema hayo yooote ni UPUUZI MTUPU, SOMA CHUO CHOCHOTE LAKIN FAINALI MTAANI[emoji23][emoji23][emoji23], ujanja wenu ni kitaani tu
 
Wamewahi kugundua chanjo gani? Au wame jenga daraja lipi hapa Tz? Au Uchumi ipi wameleta Tz toka 1960?
Au gari lipi wamewahi kuunda tu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hicho sio kipimo, lakini hayo makampuni yanayopata tenda za kujenga hayo madaraja, human resource kubwa yanategemea kutoka hapo.
 
Kiukweli bila kupepesa macho wala kutafuna maneno SAUT ni the best. Nakumbuka back in time "C" ya SAUT ni 50 wakati UDOM ilikuwa 41.
Hicho sio kigezo, kigezo ni content ya hiyo ''C" (the weight)
 
Hicho sio kipimo, lakini hayo makampuni yanayopata tenda za kujenga hayo madaraja, human resource kubwa yanategemea kutoka hapo.
Daraja zote Tz zinajengwa na form 4. Madaraja makubwa yote michoro nk ni Wachina. UDSM wanajisifu wakati hawana hata tangible products on the market.

Hata bomu la nyuklia 1 tu hakuna. Eti Atomic Nuclear[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Makaratasi tupuuuuu.
 
Sikiliza wewe graduate wa SAUT unaeyeficha cheti chako kila undapo interview watu wasijue umesoma huko kwa mapopoma (ni aibu kujitambulisha umesoma SAUT mbele ya watu)

Graduates wa UDSM, Mzumbe, SUA ndo hua wanakaa meza moja kunegotiate na kuwapa kazi hao wachina unaowasema.

Nyie mapopoma wa SAUT hua hamsogei popote watu wazima wenye IQ kubwa wanapojadili mambo ya nchi
Cc GENTAMYCINE
 
Back
Top Bottom