Nashukuru Mchumba wangu Amenisamehe baada ya Kumfumania


Huyo muoe kabisa..!

Watu wengi watakushangaa na kukuambia umuache utafute mwingine. Lakini mi nauliza... huyo mwingine ambae ni malaika na hana mtu utampata wapi? Si bora huyu mnajuana kabisa we na mwizi wako tena mnaweza ata kuanzisha urafiki.. ukienda kutafuta mwingine anaweza kua malaya zaidi ya huyu mwenye jamaa mmoja unaemjua! Na unaweza kukutana na ambae hana wanaume lakini ana kisirani, mgomvi, hana akili, mchawi, mchafu, mlevi nk... we tulia na zimwi lako hilo hilo unalolijua.
 
Hatutaki ushauri wapo wa kiphaller
 
Amekuita mshamba, una hakika amekusamehe? Hutaendelea kuwa mshamba huku huyo mwingine akifaidi?
 
Kweli utindio wa ubongo upo

Wahi mirembe ukatibiwe
 
Hahah mkuu we ni mpumbavu
 
Dah🤣🙌
Haya bwana
 
Umeongea madini sana ndugu yangu. Nashukuru wewe muelewa. Wanaume wengi wa siku hizi wanapenda kudanganywa hii dunia ishajichokea. Dunia ina kitambi.... Bora mtu umpende tu uishi naye hivyo hivyo hakuna malaika. Na kama kukosea mimi ndo nlikosea kumshtukiza kwenda kwake. Lazima nioneshe uelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…