Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 1,771
- 5,087
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiukweli kama week mbili sasa sikuwa na amani kabisa wala furaha. Huyu dada nampenda sana na ni mwaka sasa. Nimeamua nimuoe. Of course nlimkuta ana mtu so nikatumia nguvu nyingi kumpata.
Sasa last week nlienda kufanya sapraiz kwake. Bahati mbaya nikamkuta na mwanaume wake wa zamani wananyonyana mate sebuleni. Nlishtuka sana.nikawaomba radhi nikatoka kurudi home.
Baadaye nlimtafuta kwa simu akawa hapokei. Baada ya siku mbili ndo akapokea. Alinifokea sana kuwa nlimdhalilisha nitaendaje kwake bila kumtaarifu. Na hizo tabia za kishamba hapendi. Aliniambia wanaume huwa hawafanyi hivyo.
Kweli nlijisikia vibaya sana. Maana yeye alidhani nlienda kumfumania makusudi.kumbe wala hata sikuwa na hiyo nia. Basi tu ilitokea bahati mbaya. Kiukweli kipindi chote napotaka kwenda huwa namwambia siku moja kabla.siku ile ufala tu uliniingia. Nilijutia kosa langu kwa kweli.
Nimembembeleza sana mwishowe ameamua kunisamehe na kuruhusu tuendelee na uhusiano. Jaman nashauri msipende kusapraizi mtu.si nzuri kwenye mahusiano.
Sasa tumerudiana na nimeshika adabu yangu. Huyu dada nachompendea pia ana msimamo sana so tumekutana watu wa misimamo. Mwakani nataka nimuwowe.
Hatutaki ushauri wapo wa kiphallerKiukweli kama week mbili sasa sikuwa na amani kabisa wala furaha. Huyu dada nampenda sana na ni mwaka sasa. Nimeamua nimuoe. Of course nlimkuta ana mtu so nikatumia nguvu nyingi kumpata.
Sasa last week nlienda kufanya sapraiz kwake. Bahati mbaya nikamkuta na mwanaume wake wa zamani wananyonyana mate sebuleni. Nlishtuka sana.nikawaomba radhi nikatoka kurudi home.
Baadaye nlimtafuta kwa simu akawa hapokei. Baada ya siku mbili ndo akapokea. Alinifokea sana kuwa nlimdhalilisha nitaendaje kwake bila kumtaarifu. Na hizo tabia za kishamba hapendi. Aliniambia wanaume huwa hawafanyi hivyo.
Kweli nlijisikia vibaya sana. Maana yeye alidhani nlienda kumfumania makusudi.kumbe wala hata sikuwa na hiyo nia. Basi tu ilitokea bahati mbaya. Kiukweli kipindi chote napotaka kwenda huwa namwambia siku moja kabla.siku ile ufala tu uliniingia. Nilijutia kosa langu kwa kweli.
Nimembembeleza sana mwishowe ameamua kunisamehe na kuruhusu tuendelee na uhusiano. Jaman nashauri msipende kusapraizi mtu.si nzuri kwenye mahusiano.
Sasa tumerudiana na nimeshika adabu yangu. Huyu dada nachompendea pia ana msimamo sana so tumekutana watu wa misimamo. Mwakani nataka nimuwowe.
Kweli utindio wa ubongo upoKiukweli kama week mbili sasa sikuwa na amani kabisa wala furaha. Huyu dada nampenda sana na ni mwaka sasa. Nimeamua nimuoe. Of course nlimkuta ana mtu so nikatumia nguvu nyingi kumpata.
Sasa last week nlienda kufanya sapraiz kwake. Bahati mbaya nikamkuta na mwanaume wake wa zamani wananyonyana mate sebuleni. Nlishtuka sana.nikawaomba radhi nikatoka kurudi home.
Baadaye nlimtafuta kwa simu akawa hapokei. Baada ya siku mbili ndo akapokea. Alinifokea sana kuwa nlimdhalilisha nitaendaje kwake bila kumtaarifu. Na hizo tabia za kishamba hapendi. Aliniambia wanaume huwa hawafanyi hivyo.
Kweli nlijisikia vibaya sana. Maana yeye alidhani nlienda kumfumania makusudi.kumbe wala hata sikuwa na hiyo nia. Basi tu ilitokea bahati mbaya. Kiukweli kipindi chote napotaka kwenda huwa namwambia siku moja kabla.siku ile ufala tu uliniingia. Nilijutia kosa langu kwa kweli.
Nimembembeleza sana mwishowe ameamua kunisamehe na kuruhusu tuendelee na uhusiano. Jaman nashauri msipende kusapraizi mtu.si nzuri kwenye mahusiano.
Sasa tumerudiana na nimeshika adabu yangu. Huyu dada nachompendea pia ana msimamo sana so tumekutana watu wa misimamo. Mwakani nataka nimuwowe.
Hahah mkuu we ni mpumbavuKiukweli kama week mbili sasa sikuwa na amani kabisa wala furaha. Huyu dada nampenda sana na ni mwaka sasa. Nimeamua nimuoe. Of course nlimkuta ana mtu so nikatumia nguvu nyingi kumpata.
Sasa last week nlienda kufanya sapraiz kwake. Bahati mbaya nikamkuta na mwanaume wake wa zamani wananyonyana mate sebuleni. Nlishtuka sana.nikawaomba radhi nikatoka kurudi home.
Baadaye nlimtafuta kwa simu akawa hapokei. Baada ya siku mbili ndo akapokea. Alinifokea sana kuwa nlimdhalilisha nitaendaje kwake bila kumtaarifu. Na hizo tabia za kishamba hapendi. Aliniambia wanaume huwa hawafanyi hivyo.
Kweli nlijisikia vibaya sana. Maana yeye alidhani nlienda kumfumania makusudi.kumbe wala hata sikuwa na hiyo nia. Basi tu ilitokea bahati mbaya. Kiukweli kipindi chote napotaka kwenda huwa namwambia siku moja kabla.siku ile ufala tu uliniingia. Nilijutia kosa langu kwa kweli.
Nimembembeleza sana mwishowe ameamua kunisamehe na kuruhusu tuendelee na uhusiano. Jaman nashauri msipende kusapraizi mtu.si nzuri kwenye mahusiano.
Sasa tumerudiana na nimeshika adabu yangu. Huyu dada nachompendea pia ana msimamo sana so tumekutana watu wa misimamo. Mwakani nataka nimuwowe.
Dah🤣🙌Kiukweli kama week mbili sasa sikuwa na amani kabisa wala furaha. Huyu dada nampenda sana na ni mwaka sasa. Nimeamua nimuoe. Of course nlimkuta ana mtu so nikatumia nguvu nyingi kumpata.
Sasa last week nlienda kufanya sapraiz kwake. Bahati mbaya nikamkuta na mwanaume wake wa zamani wananyonyana mate sebuleni. Nlishtuka sana.nikawaomba radhi nikatoka kurudi home.
Baadaye nlimtafuta kwa simu akawa hapokei. Baada ya siku mbili ndo akapokea. Alinifokea sana kuwa nlimdhalilisha nitaendaje kwake bila kumtaarifu. Na hizo tabia za kishamba hapendi. Aliniambia wanaume huwa hawafanyi hivyo.
Kweli nlijisikia vibaya sana. Maana yeye alidhani nlienda kumfumania makusudi.kumbe wala hata sikuwa na hiyo nia. Basi tu ilitokea bahati mbaya. Kiukweli kipindi chote napotaka kwenda huwa namwambia siku moja kabla.siku ile ufala tu uliniingia. Nilijutia kosa langu kwa kweli.
Nimembembeleza sana mwishowe ameamua kunisamehe na kuruhusu tuendelee na uhusiano. Jaman nashauri msipende kusapraizi mtu.si nzuri kwenye mahusiano.
Sasa tumerudiana na nimeshika adabu yangu. Huyu dada nachompendea pia ana msimamo sana so tumekutana watu wa misimamo. Mwakani nataka nimuwowe.
Umeongea madini sana ndugu yangu. Nashukuru wewe muelewa. Wanaume wengi wa siku hizi wanapenda kudanganywa hii dunia ishajichokea. Dunia ina kitambi.... Bora mtu umpende tu uishi naye hivyo hivyo hakuna malaika. Na kama kukosea mimi ndo nlikosea kumshtukiza kwenda kwake. Lazima nioneshe uelewa.Huyo muoe kabisa..!
Watu wengi watakushangaa na kukuambia umuache utafute mwingine. Lakini mi nauliza... huyo mwingine ambae ni malaika na hana mtu utampata wapi? Si bora huyu mnajuana kabisa we na mwizi wako tena mnaweza ata kuanzisha urafiki.. ukienda kutafuta mwingine anaweza kua malaya zaidi ya huyu mwenye jamaa mmoja unaemjua! Na unaweza kukutana na ambae hana wanaume lakini ana kisirani, mgomvi, hana akili, mchawi, mchafu, mlevi nk... we tulia na zimwi lako hilo hilo unalolijua.