Nashukuru Mchumba wangu Amenisamehe baada ya Kumfumania


Kusimamia ukitakacho ni pamoja na kuoa mwanamke unaempenda na ndio anachotaka kufanya jamaa yetu hapo. Pia huenda huyo mwanamke ndio anampa afya ya akili, pengine akimuacha ndio afya yake ya akili itazorota na atachanganyikiwa kabisa! Haya maisha yana mambo mengi..
 
Tanzania ni nchj huru,
Vyema sana kama unakupa furaha,komaa nae mwanzo mwisho.
 
Kwahiyo huo ni msimamo???ngoja nikasali kwanza,nikirudi ntakujibu vizuri,maama naona unataka kuniharibia ibada yangu leo j.pili...
 

Wewe ni mwanaume kweli?
 
Fala wewe ulinikera kidogo nikulambe makofi me nipo zangu nakula vitu unaleta pua lako.. Mamayo na ukimuoa kwa mwezi kwako atalala siku 5 tu pumbavu zingine zote kwangu shenzi
 
Heee, wewe ni zwazwa kabisa, na utateseka mpaka akili ikukae sawa
 
Nimejizuia kucomment ila nimeshindwa

Nikuuulize!!!

Wewe ni yule member Daktari wa meno aka Mtanesco?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtanesco
 
We jamaa utakuwa umepungukiwa kitu kwenye kichwa chako kaa utafakali
 
Kichaa mwingine huyo kati ya zile watz 10-6 ni vichaa
 
Watu wanataka lazimisha maisha yao yawe yetu. Mwanaume lazima uwe na moyo mgumu. Siyo jambo dogo tu unasusa. Mimi huyu dada namkubali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…