Nasibu S.M form 6 Ndanda Sec alikuwa na changamoto gani?

Ila amenikumbusha mbali, lile harage lenye chuzi jeupeeee, likiwekwa kwenye bakuli linalia kama halikuwahi kupikwa, huku likiwa limeoga mafuta ya taa au sabuni(huu ukatili sijui kama bado wanafanyiwa Hawa vijana wa siku hizi)๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
 
Siku dogo aliponiambia baba shule tunakula vizuri kuliko nyumbani, nikajua hapo hakuna shule likizo itakuwa anaenda kijijini kuchunga mbuzi
 
Huenda amegundulika ana tatizo la ukosefu wa Madini ambayo amegundua yanapatikana kwenye huo Ukoko

Ila Ulaji wa Ukoko kupita kiasi, unaweza kumletea shida huyo ndugu, hivyo awe makini
Hizo janja janja tu za vijana... Ukoko ni mwingi kwahiyo unaachiwa jungu baada ya wenzako wote kupewa kikombe kimoja cha wali, ila alichonishangaza ni namna alivyomshawishi huyo mkuu wa shule hadi kumpa hiko kibali๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hahaha..........balaa

Ndiyo maana wakati nipo shule niligombea dormitory leader ili iwe rahisi kupata wali wakutosha ๐Ÿ˜œ
 
Hahaha..........balaa

Ndiyo maana wakati nipo shule niligombea dormitory leader ili iwe rahisi kupata wali wakutosha ๐Ÿ˜œ
Yeah shule za boarding ukitaka ufurahie maisha uwe kiongozi na ukiweza jitahidi uwe kiongozi wa msosi au wa dom kama wewe kwa maana viongozi wa dom huwa wanaheshimiwa sana kutokana na zile favor za kujificha bwenini muda wa prepo๐Ÿ˜…
 
Kabisa Mkuu

Niliendelea kuwa dormitory leader Kwa miaka miwili ya A'level
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ