Tetesi: Nasikia Hamidu Matembo amekatwa mguu?

Tetesi: Nasikia Hamidu Matembo amekatwa mguu?

...Huu uzi kwa wale wanaoishi Dar ambao hawajafikisha miaka mitatu kutoka huko Kolomije hawawezi tia maguu....
Aise mie nimeingia Dar tangu 2000 lakini huyo jamaa simjui aise,na niliishi maghorofani hapo Mwenge jeshini block H kwa bi mkubwa but sikuwahi kulisikia hilo kundi aloh!
 
Aise mie nimeingia Dar tangu 2000 lakini huyo jamaa simjui aise,na niliishi maghorofani hapo Mwenge jeshini block H kwa bi mkubwa but sikuwahi kulisikia hilo kundi aloh!
vipi kuhusu dame wa sinza?... hujawawi msikia?... maana mwenge na sinza ni maeneo jirani.
 
vipi kuhusu dame wa sinza?... hujawawi msikia?... maana mwenge na sinza ni maeneo jirani.
Sikuwahi kumsikia mkuu!!!
Unajua mie sikuwa mtembeaji kabisa,nilikuwa ni mtu ambaye nilipenda kukaa nyumbani na kusaidia kazi za nyumbani na sikuwa mtu wa kutoka otherwise nimetumwa pale duka la jeshi Lugalo kununua mvinyo wa bei che basi narudi home,kama ni kutembea nilipenda kwenda kutembe pale maeneo ya daraja la Manzese nakaa kule juu ata masaa3 kisha narudi home,enzi hizo sii Manzese hii ya 'Walokole" naongelea Manzese ile ya vujo nyingi na biashara za nguo za mitumba,nauli ya daladala ilikuwa 50 kwa sisi madogo na 100 kwa mkubwa!!enzi hizo kuna kampuni1 tu ya simu inaitwa MOBITEL kabla ya kuwa sijui BUZZ,yale masimu makubwa yalikuwa yanauzwa laki3!
So sikuweza kuyafahamu makundi ya kihuni kabisa!
 
Ndichi=Mung'anda=Nondoni=Sakafuni!!
Pale Mwanga mjini niliwahi kudakwa siku moja mida ya saa2 usiku nikatupwa mle ndani police jamaa wakanikaribisha eti karibu ufukweni,maana kulikuwa na upepo wenye baridi kali hatari manina!!
 
Hamidu alikaa Segedansi kama miezi minane hivi.Nadhani ilikuwa mwaka 2015.Alimdhulumu laptop bro mmoja hivi MTU wa system halafu alikuwa na affiliation na watu wa doxii.Jamaa akamletea wazee.Alikaa ndani muda mrefu sana.Hata baba ake Mzee Njohoka wakati anavuta hadi anaenda kuzikwa kwao Songea ,Hamidu alikuwa Ndichi
Segedansi = segerea, mtu wa system = usalama, wazee = wamwela au polisi, kuvuta = kufariki, ndichi = jera, kuna kingine? Wahuni wapo keko, huko ubungo wote wachumba tuu
 
tuanzia hapa kwanza amekatwa mguu gani wakushoto au wakulia?

maana yule jamaa kuna mguu alikuwa hautumii kabisa sasa kama wamemkata huo ni kazi bure inabidi basi waondoe hata na mkono mmoja hivi
 
Wewe ushawahi sikia mkoani kuna vikundi vya kijingajinga hivyo? Mara Tembo,mara sijui panya road mara sijui nn yoso? Hebu kuweni majasili aiseee acheni kula chips na kuku matahira na burger.
Mwanza miaka ya 2005-2010s kulikua na vikundi vingi saana manyirizu sahara, watengwa vampare wa pasians pimpili ya nyamanoro tena Athuman ndo alikua chambo mabatini nayo ilijaa vikundi vikiongozwa na watoto wa sakara kulwa na doto Nyakato napo kulikua na makundi Isamilo lilikuwepo black power kiongozi wao alikua Musa dudu tukienda Mara walikuepo mdomo wa furu na mbio za vijiti utasemaje mikoan hayakuepo
 
Hamidu alikaa Segedansi kama miezi minane hivi.Nadhani ilikuwa mwaka 2015.Alimdhulumu laptop bro mmoja hivi MTU wa system halafu alikuwa na affiliation na watu wa doxii.Jamaa akamletea wazee.Alikaa ndani muda mrefu sana.Hata baba ake Mzee Njohoka wakati anavuta hadi anaenda kuzikwa kwao Songea ,Hamidu alikuwa Ndichi
Hiki kiswahili hiki....ndichi....haha
 
Back
Top Bottom