DAKA MTUMBA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,288
- 801
Ata mm hivyo hivyo aise,yani uchumi wetu unakuwa kwa kasi sana loh😛😛😛Khaaa!bila bila.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ata mm hivyo hivyo aise,yani uchumi wetu unakuwa kwa kasi sana loh😛😛😛Khaaa!bila bila.
Aise mie nimeingia Dar tangu 2000 lakini huyo jamaa simjui aise,na niliishi maghorofani hapo Mwenge jeshini block H kwa bi mkubwa but sikuwahi kulisikia hilo kundi aloh!...Huu uzi kwa wale wanaoishi Dar ambao hawajafikisha miaka mitatu kutoka huko Kolomije hawawezi tia maguu....
vipi kuhusu dame wa sinza?... hujawawi msikia?... maana mwenge na sinza ni maeneo jirani.Aise mie nimeingia Dar tangu 2000 lakini huyo jamaa simjui aise,na niliishi maghorofani hapo Mwenge jeshini block H kwa bi mkubwa but sikuwahi kulisikia hilo kundi aloh!
Ndo niniNdichi=Mung'anda
😛😛😛
Sikuwahi kumsikia mkuu!!!vipi kuhusu dame wa sinza?... hujawawi msikia?... maana mwenge na sinza ni maeneo jirani.
Ndichi=Mung'anda=Nondoni=Sakafuni!!Ndo nini
huwezi kuelewa... hizi story tunazielewa sisi tu watoto wa kihuni tuliokuwa familiar na wahuni wa mitaa ya ubungo, mabibo, kigogo na manzese.
Khaaa!bila bila.[/QUOT
Pole sana mkuu, bado hujamaliza form four wewe...
Segedansi = segerea, mtu wa system = usalama, wazee = wamwela au polisi, kuvuta = kufariki, ndichi = jera, kuna kingine? Wahuni wapo keko, huko ubungo wote wachumba tuuHamidu alikaa Segedansi kama miezi minane hivi.Nadhani ilikuwa mwaka 2015.Alimdhulumu laptop bro mmoja hivi MTU wa system halafu alikuwa na affiliation na watu wa doxii.Jamaa akamletea wazee.Alikaa ndani muda mrefu sana.Hata baba ake Mzee Njohoka wakati anavuta hadi anaenda kuzikwa kwao Songea ,Hamidu alikuwa Ndichi
huyu jamaa ni wa friends rangers manzese,ila si mkorofi kivileyupo na kajaa tele ila utu uzima unazidi kuchukua nafasi....siku hizi kawa mtu muungwana sana.
kawa dingile. View attachment 739972
Mshkaji tulipiga class moja miaka ya 90 ndani ya KG tulikuwa tunamwita heri mwarabu au heri van damme,sema mshkaji anayaweza i mean alikuwa fit.yupo na kajaa tele ila utu uzima unazidi kuchukua nafasi....siku hizi kawa mtu muungwana sana.
kawa dingile. View attachment 739972
Ndichi ni kifupi cha ndizi ya chiniNdichi ndiyo nini?
Mwanza miaka ya 2005-2010s kulikua na vikundi vingi saana manyirizu sahara, watengwa vampare wa pasians pimpili ya nyamanoro tena Athuman ndo alikua chambo mabatini nayo ilijaa vikundi vikiongozwa na watoto wa sakara kulwa na doto Nyakato napo kulikua na makundi Isamilo lilikuwepo black power kiongozi wao alikua Musa dudu tukienda Mara walikuepo mdomo wa furu na mbio za vijiti utasemaje mikoan hayakuepoWewe ushawahi sikia mkoani kuna vikundi vya kijingajinga hivyo? Mara Tembo,mara sijui panya road mara sijui nn yoso? Hebu kuweni majasili aiseee acheni kula chips na kuku matahira na burger.
Hiki kiswahili hiki....ndichi....hahaHamidu alikaa Segedansi kama miezi minane hivi.Nadhani ilikuwa mwaka 2015.Alimdhulumu laptop bro mmoja hivi MTU wa system halafu alikuwa na affiliation na watu wa doxii.Jamaa akamletea wazee.Alikaa ndani muda mrefu sana.Hata baba ake Mzee Njohoka wakati anavuta hadi anaenda kuzikwa kwao Songea ,Hamidu alikuwa Ndichi