Tetesi: Nasikia Hamidu Matembo amekatwa mguu?

Tetesi: Nasikia Hamidu Matembo amekatwa mguu?

yupo na kajaa tele ila utu uzima unazidi kuchukua nafasi....siku hizi kawa mtu muungwana sana.

kawa dingile. View attachment 739972
Sifa zake za ujana MAJI ya moto alikuaje,utu uzima Dawa hata baadhi ya wahuni wa USA wengine wanashinda church km kina DMX bony thug,kuna MTU alikuwa mhuni kichaa hatari Leo ni Mchungaji na anafamilia ya mfano tu aisee,
 
hilo tumbo ni kwasababu ya umri kuanza kumtupa mkono,ila jamaa bado ana ubavu usio wa kawaida.

enzi za ujana wake alikuwa na umbo la kimazoezi.
View attachment 740340

acha nikupe assignment ndogo.
mara nyingi heri mzozo huwa anapatikana uwanja wa taifa siku inapocheza azam fc au siku kunapokuwa na game kubwa ya simba vs yanga.

heri hupenda kukaa jukwaa la simba. hata mechi ijayo ya simba vs yanga ambayo itachezwa tarehe 29/04/2018, heri atakuwepo jukwaa la simba.

sasa assignment yangu ni wewe umsogolee halafu mtupie maneno ya karaha kuhusu tumbo lake.

nitakuwepo uwanjani na ki-IST changu nikisubiri kukubeba kukuwaisha hospital.

nishaskia heri mzozo babaake alikuwa mgiriki ni kweli?
 
Niliwahi kuishi Mwanza pale mabatini kwenye kambi ya FFU way back.. Pale Mabatini Nyumba kama hakuna mtoto kahaba anaejiuza basi kuna wanauza gongo.

Nakumbuka watoto wa Sakala wale kulwa na dotto na crew lao wakipambana na Manyilizu waliowafuata hadi kwao pale mabatini..ilikuwa Kosovo kama la dakika tano tu but damu ilikuwa inanuka hadi hewani ni mwendo wa bisibisi, mapanga, minyororo ya baiskeli, vyupa vya bia vinapishana tu hewani.

At that time nishakuwa na roho ngumu sana maana nilisoma shule ya Buswelu way back tunaitwa Mabush runner kipindi hicho shule yetu ilikuwa ina vurugu kuliko shule yeyote ile Mwanza inamilikiwa na wakulima unakuta mwanafunzi wa form one ana miaka 29 kudadadeki na mshkaji wangu alishapigwaga na shoka likazama kichwani tukiwa kwenye michezo na Lake secondary..nilijikuta na Mimi nimekuwa Mafioso tu ili kujihami. Daah!

Those days were horrible sana.
Sio kweli buswelu haijawah kuwa shule tishio Mwanza nzima labda maeneo ya huko nyakato tuu ila ukija kuanzia mabatin shule ya Mwanza sec Igogo Nyakabungo Mirongo na Mlimani ndio shule zilizokua zinasumbua saana hata maaskari sabab watoto waengi walikua wa maaskari na wanajeshi kwa hyo walikua wakikamatwa wanaachiwa. Watoto wa sakala naskia walishafariki baadh baada ya baba ao kufariki maana alikua anawapa kiburi na uchawi pia
 
Wanaume wa dar yaani uzembe hadi kwenye matumizi ya kondomu...badilikeni aisee
 
Huo sasa ndio ubwege niliosema sasa, hivi nyinyi wanaume wa Dar ni nani alie waroga ninyi??? Mwanaume hupashwi kuogopa. jombaa,, yaani huoni hata aibu kumsifia dume mwenzio eti oooh unamjua heri mzoo wewe!! Hovyo kabisa wewe dadeq
Wewe endelea tu kulima magimbi yako.ukimaliza uvune,ule uvimbiwe,ulale.ya mjini tuachie wenyewe.
 
Wewe ushawahi sikia mkoani kuna vikundi vya kijingajinga hivyo? Mara Tembo,mara sijui panya road mara sijui nn yoso? Hebu kuweni majasili aiseee acheni kula chips na kuku matahira na burger.
Ndo maana unaambiwa mjini haupajui.endelea kula magimbi..
Dar sio kuzuri.
Ulishawahi kusikia habari za wahuni Wa Mexico, Colombia n.k.
Wahuni wapo.tena wana roho mbaya.
 
Wanaume wa dar yaani uzembe hadi kwenye matumizi ya kondomu...badilikeni aisee
ila vijana wa mikoani acheni kuuwa vikongwe na watu wenye ulemavu wa ngozi. povu ruksa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Daah umenikumbusha mbali sana, yaani ilifika kipndi nikiwa stand ya ubungo matembo kibao wananizonga mwana upo, full kupanda gar bure, herry mzozo katutetea sana enzi za debe beach, daah uswaz raha sana
 
Mwishoni mwa miaka ya tisini,mwanzoni mwa miaka ya 2000 hadi around mwaka 2014/15 maeneo ya Ubungo kuna kundi la watoto wa kihuni lililojulikana kama "Matembo".Kundi hili lilijumuisha watoto wa Ubungo na Kagera...

Kila memba wa kundi hili alijulikana kwa jina lake plus Matembo yani kama MTU aliitwa X basi angejulikana kwa jina la X Matembo..

Tetesi kitaani zinasema Hamidu Matembo kiongozi mkuu wa Matembo wa Ubungo amekatwa mguu mmoja.

Chanzo cha kukatwa mguu inasemekana walienda " kiwanja" ( kuvamia) Hamidu akapigwa mkwaju wa mguu jambo lililopelekea Hamidu kukatwa mguu wake baadae kwa sababu inasemekana alichelewa kuupeleka hospitali kutokana na mazingira ya tukio..

During his prime Hamidu Matembo alitesa sana watu ..

Mpaka sasa bado sijathibitisha kama tetesi hizi ni za ukweli au vinginevyo though nimezipata muda mrefu kidogo
Mi simjui Hamidu Matembo.
Hebu weka bayanw ni jini gani hilo
 
Sio kweli buswelu haijawah kuwa shule tishio Mwanza nzima labda maeneo ya huko nyakato tuu ila ukija kuanzia mabatin shule ya Mwanza sec Igogo Nyakabungo Mirongo na Mlimani ndio shule zilizokua zinasumbua saana hata maaskari sabab watoto waengi walikua wa maaskari na wanajeshi kwa hyo walikua wakikamatwa wanaachiwa. Watoto wa sakala naskia walishafariki baadh baada ya baba ao kufariki maana alikua anawapa kiburi na uchawi pia
Nimekuwa interested na story ya hao mapacha wa sakala.Walikuwa kina nani hao ? What were they doing ? Age ? I mean walifanya utemi wao kipindi gani?
 
Hamidu alikaa Segedansi kama miezi minane hivi.Nadhani ilikuwa mwaka 2015.Alimdhulumu laptop bro mmoja hivi MTU wa system halafu alikuwa na affiliation na watu wa doxii.Jamaa akamletea wazee.Alikaa ndani muda mrefu sana.Hata baba ake Mzee Njohoka wakati anavuta hadi anaenda kuzikwa kwao Songea ,Hamidu alikuwa Ndichi
Ngeli ya masela
 
Vikundi vyakuhuni hivyo wacha viteketekee tu
 
Mkuu hawa watu chips zinawalainisha wanakuwa kama wa kike kike aisee. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Inasemekana ulaji wa mayai haya fake ni hatari sana kwa afya ya mwanaume, kwani yanaua homoni za kiume na kubaki za kike, yaani wanaume tuna X na Y, sasa Y zinakufa zinabaki X pekee...[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Back
Top Bottom