kubwa la mabwege
Member
- Nov 30, 2017
- 56
- 87
Igoma sehemu gani??Igoma kuna wezi hadi leo hii wanajiita wazambili,wanawahenyesha kinooma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Igoma sehemu gani??Igoma kuna wezi hadi leo hii wanajiita wazambili,wanawahenyesha kinooma
Sifa zake za ujana MAJI ya moto alikuaje,utu uzima Dawa hata baadhi ya wahuni wa USA wengine wanashinda church km kina DMX bony thug,kuna MTU alikuwa mhuni kichaa hatari Leo ni Mchungaji na anafamilia ya mfano tu aisee,yupo na kajaa tele ila utu uzima unazidi kuchukua nafasi....siku hizi kawa mtu muungwana sana.
kawa dingile. View attachment 739972
hilo tumbo ni kwasababu ya umri kuanza kumtupa mkono,ila jamaa bado ana ubavu usio wa kawaida.
enzi za ujana wake alikuwa na umbo la kimazoezi.
View attachment 740340
acha nikupe assignment ndogo.
mara nyingi heri mzozo huwa anapatikana uwanja wa taifa siku inapocheza azam fc au siku kunapokuwa na game kubwa ya simba vs yanga.
heri hupenda kukaa jukwaa la simba. hata mechi ijayo ya simba vs yanga ambayo itachezwa tarehe 29/04/2018, heri atakuwepo jukwaa la simba.
sasa assignment yangu ni wewe umsogolee halafu mtupie maneno ya karaha kuhusu tumbo lake.
nitakuwepo uwanjani na ki-IST changu nikisubiri kukubeba kukuwaisha hospital.
Sio kweli buswelu haijawah kuwa shule tishio Mwanza nzima labda maeneo ya huko nyakato tuu ila ukija kuanzia mabatin shule ya Mwanza sec Igogo Nyakabungo Mirongo na Mlimani ndio shule zilizokua zinasumbua saana hata maaskari sabab watoto waengi walikua wa maaskari na wanajeshi kwa hyo walikua wakikamatwa wanaachiwa. Watoto wa sakala naskia walishafariki baadh baada ya baba ao kufariki maana alikua anawapa kiburi na uchawi piaNiliwahi kuishi Mwanza pale mabatini kwenye kambi ya FFU way back.. Pale Mabatini Nyumba kama hakuna mtoto kahaba anaejiuza basi kuna wanauza gongo.
Nakumbuka watoto wa Sakala wale kulwa na dotto na crew lao wakipambana na Manyilizu waliowafuata hadi kwao pale mabatini..ilikuwa Kosovo kama la dakika tano tu but damu ilikuwa inanuka hadi hewani ni mwendo wa bisibisi, mapanga, minyororo ya baiskeli, vyupa vya bia vinapishana tu hewani.
At that time nishakuwa na roho ngumu sana maana nilisoma shule ya Buswelu way back tunaitwa Mabush runner kipindi hicho shule yetu ilikuwa ina vurugu kuliko shule yeyote ile Mwanza inamilikiwa na wakulima unakuta mwanafunzi wa form one ana miaka 29 kudadadeki na mshkaji wangu alishapigwaga na shoka likazama kichwani tukiwa kwenye michezo na Lake secondary..nilijikuta na Mimi nimekuwa Mafioso tu ili kujihami. Daah!
Those days were horrible sana.
Wewe endelea tu kulima magimbi yako.ukimaliza uvune,ule uvimbiwe,ulale.ya mjini tuachie wenyewe.Huo sasa ndio ubwege niliosema sasa, hivi nyinyi wanaume wa Dar ni nani alie waroga ninyi??? Mwanaume hupashwi kuogopa. jombaa,, yaani huoni hata aibu kumsifia dume mwenzio eti oooh unamjua heri mzoo wewe!! Hovyo kabisa wewe dadeq
Ndo maana unaambiwa mjini haupajui.endelea kula magimbi..Wewe ushawahi sikia mkoani kuna vikundi vya kijingajinga hivyo? Mara Tembo,mara sijui panya road mara sijui nn yoso? Hebu kuweni majasili aiseee acheni kula chips na kuku matahira na burger.
ila vijana wa mikoani acheni kuuwa vikongwe na watu wenye ulemavu wa ngozi. povu ruksa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanaume wa dar yaani uzembe hadi kwenye matumizi ya kondomu...badilikeni aisee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Wewe endelea tu kulima magimbi yako.ukimaliza uvune,ule uvimbiwe,ulale.ya mjini tuachie wenyewe.
Watafutieni wamarekani weupe wawashughulikieMbeya nimesikia kuna Wakorea weusi
hata mimi nimesikia hivo hovo.nishaskia heri mzozo babaake alikuwa mgiriki ni kweli?
it doesn't matter Niger!!sema ulikuwa 'hausi boyi'
Mi simjui Hamidu Matembo.Mwishoni mwa miaka ya tisini,mwanzoni mwa miaka ya 2000 hadi around mwaka 2014/15 maeneo ya Ubungo kuna kundi la watoto wa kihuni lililojulikana kama "Matembo".Kundi hili lilijumuisha watoto wa Ubungo na Kagera...
Kila memba wa kundi hili alijulikana kwa jina lake plus Matembo yani kama MTU aliitwa X basi angejulikana kwa jina la X Matembo..
Tetesi kitaani zinasema Hamidu Matembo kiongozi mkuu wa Matembo wa Ubungo amekatwa mguu mmoja.
Chanzo cha kukatwa mguu inasemekana walienda " kiwanja" ( kuvamia) Hamidu akapigwa mkwaju wa mguu jambo lililopelekea Hamidu kukatwa mguu wake baadae kwa sababu inasemekana alichelewa kuupeleka hospitali kutokana na mazingira ya tukio..
During his prime Hamidu Matembo alitesa sana watu ..
Mpaka sasa bado sijathibitisha kama tetesi hizi ni za ukweli au vinginevyo though nimezipata muda mrefu kidogo
Nimekuwa interested na story ya hao mapacha wa sakala.Walikuwa kina nani hao ? What were they doing ? Age ? I mean walifanya utemi wao kipindi gani?Sio kweli buswelu haijawah kuwa shule tishio Mwanza nzima labda maeneo ya huko nyakato tuu ila ukija kuanzia mabatin shule ya Mwanza sec Igogo Nyakabungo Mirongo na Mlimani ndio shule zilizokua zinasumbua saana hata maaskari sabab watoto waengi walikua wa maaskari na wanajeshi kwa hyo walikua wakikamatwa wanaachiwa. Watoto wa sakala naskia walishafariki baadh baada ya baba ao kufariki maana alikua anawapa kiburi na uchawi pia
Ngeli ya maselaHamidu alikaa Segedansi kama miezi minane hivi.Nadhani ilikuwa mwaka 2015.Alimdhulumu laptop bro mmoja hivi MTU wa system halafu alikuwa na affiliation na watu wa doxii.Jamaa akamletea wazee.Alikaa ndani muda mrefu sana.Hata baba ake Mzee Njohoka wakati anavuta hadi anaenda kuzikwa kwao Songea ,Hamidu alikuwa Ndichi
inamata nigger ndo maana ulikuwa kazi yako kutumwa tumwa nyanya kuchota maji kufua nkit doesn't matter Niger!!
Inasemekana ulaji wa mayai haya fake ni hatari sana kwa afya ya mwanaume, kwani yanaua homoni za kiume na kubaki za kike, yaani wanaume tuna X na Y, sasa Y zinakufa zinabaki X pekee...[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Mkuu hawa watu chips zinawalainisha wanakuwa kama wa kike kike aisee. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]