Nasikia harufu mbaya sana ya udini IPO siku bomu litalipuka

Nasikia harufu mbaya sana ya udini IPO siku bomu litalipuka

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,748
Reaction score
18,096
Screenshot_20250330_084329_Instagram.jpg
 
Samahani nje ya mada.
 
Nadhani wewe ndo unaeleta harufu ya udini. Ila hapo sijaona cha Ajabu...

Hiyo kawaida kwa hizi sini zetu zote kujipendekeza kwa watawala.. Hata Wakristo wanafanyaga hivyo sana tu.
 
Mm sioni harufu ya udini ila naona kuna imani mpya inatengenezwa hapa Tanzania ya mix by yas islam na Christian kuna siku kutakuwa na masheikh wanaitwa john na wachungaji wanaitwa Hussein.
Mbona hayo majina hayana uhusiano na dini. Ni majina ya waarabu na wakristo, wayahudi.
 
Mkuu kwa Sasa udini umepewa nguvu kabisa kuwa sehemu ya elimu yetu mashuleni
Unayosema ni kweli kabisa na binafsi ningeomba SoMo la bible knowledge lifundishwe kiswahili ili watoto wa kikristo walisome na kulipenda kama ilivyo kwa elimu ya dini ya kiislamu
 
Kawaida kabisa John Pombe Magufuli kajenga msikiti Chato na kasaidia pakubwa kufanikisha ujenzi msikiti wa Bakwata Kinondoni.

Mama Samia kamwaga milioni mia za kutosha kwenye makanisa.
Shehe Al-hadi Musa alikua rafiki mkubwa wa Mzee Mengi kwaajili ya kulea vituo vya mayatima na madrasa za shehe Al-hadi.

Unajua watanzania ni walevi wakubwa wa dini ukiwagusa vizuri kwenye dini kama ni mtawala watakupenda kama ni mfanyabiashara utawauzia sana tu.
 
Ifikie wakati Shura ya Maimam ndiyo wakabidhiwe jukumu la kuwasimamia Waislam wote nchini (kwa sababu wanajitambua), badala ya hawa Bakwata na Masheikh wake wanaotumika kama tawi la chama tawala.
 
Dua ya nini sasa wakati tunamlinda kila mahala na kodi zetu..

Gharama ya Dua ni ndogo kuliko hizi gharama za mabunduki, Rais aondelewe ulinzi mara moja tumlinde kwa Dua.

Viongozi wa kidunia muache udhalimu ili mpate ulinzi wa Muumba automatically tu na muachane na hayo mabunduki.
 
Back
Top Bottom