Dah,Nasikia Mpango ndo anaingia Kama kocha mchezaji
Tumesema hivi muwe na AKILI TIMAMU na nyepesi ya kuelewa:Taifa linamaanisha hv NO REFORMS NO ELECTION ndio dawa PEKEE ya kuponya Taifa. Muda wa marekebisho ya Sheria upo kabisa kama Uzalendo upo kwa Taifa na ubinafsi haupo,lkn kama UZALENDO WA TAIFA HAUPO naamini hata muda haupo ila wizi na ujinga ujinga ambao watu ndani ya serikali wameuzoea wenyewe upo pale pale,lkn kuwaelewa watanzania ni muhimu zaidi kuliko kuwaambia sijui nani atapeperusha bendera kwa ajili ya chama fulani ilhali Sheria za wizi wa kura zilizowekwa hazijabadiliashwa ni UPUUZI MTUPU tena wa kipumbavu kabisa. NO REFORMS NO ELECTION NDIO ITAKAYOLETA MAENDELEO MAKUBWA YANAYOSHIRIKISHA WATANZANIA WOTE TUUNGE MKONO NO REFORMS NO ELECTION.Hakika kumekucha safari hii sio mchezo Sub zote zimeisha Ila tunaingiza wapiga penati ambao wako wanafanya warm up.
Sasa tusiangushane.
C amesema anastaafu, amegoma 😂
SA 🤔 💭 🤔Pigeni ngenga tu ila awamu hii marefa watatoka nchi za magharibu, #NRNE
Sio mengi tu ila kuna watakao lala nakupotelea usingizini....Mpaka kufika Oktoba tutakuwa tumesikia na kuona mengi sana!
Jiongeze wewe ukiona huelewi na wewe tia code wasikueleweMbona kutesana na hizi code
Mkuu uzalendo utoke wapi wakati nchi tumemkabidhi raia wa nchi jirani?Tumesema hivi muwe na AKILI TIMAMU na nyepesi ya kuelewa:Taifa linamaanisha hv NO REFORMS NO ELECTION ndio dawa PEKEE ya kuponya Taifa. Muda wa marekebisho ya Sheria upo kabisa kama Uzalendo upo kwa Taifa na ubinafsi haupo,lkn kama UZALENDO WA TAIFA HAUPO naamini hata muda haupo ila wizi na ujinga ujinga ambao watu ndani ya serikali wameuzoea wenyewe upo pale pale,lkn kuwaelewa watanzania ni muhimu zaidi kuliko kuwaambia sijui nani atapeperusha bendera kwa ajili ya chama fulani ilhali Sheria za wizi wa kura zilizowekwa hazijabadiliashwa ni UPUUZI MTUPU tena wa kipumbavu kabisa. NO REFORMS NO ELECTION NDIO ITAKAYOLETA MAENDELEO MAKUBWA YANAYOSHIRIKISHA WATANZANIA WOTE TUUNGE MKONO NO REFORMS NO ELECTION.
Hii Code ngumu tufungulieHakika kumekucha safari hii sio mchezo Sub zote zimeisha Ila tunaingiza wapiga penati ambao wako wanafanya warm up.
Sasa tusiangushane.